NABEEL SADIO
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 352
- 580
Mkuu imenibidi nicheke sana mbona uwoga umezidi sana kuelekea uchaguzi mkuuu je hatujawatendea haki wananchi wetu?[emoji3]Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze.
Kulingana na barua hiyo,Msajili anataka kupata ukweli wa madai hayo yaliyoandikwa na vyombo vya habari.
Tweet yenye barua hiyo(barua ya tarehe 12/06/2020) imekuwa retweeted na baadhi ya watu akiwemo Zitto mwenyewe.
Na kile chama kinacho mwalika balozi wa kichina na kuvaa sare yao wao nao wamepewa barua?
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze.
Kulingana na barua hiyo,Msajili anataka kupata ukweli wa madai hayo yaliyoandikwa na vyombo vya habari.
Tweet yenye barua hiyo(barua ya tarehe 12/06/2020) imekuwa retweeted na baadhi ya watu akiwemo Zitto mwenyewe.
Msajili ni mlamba makalio ya watesi wa watz waliojipa kingaSasa Msajili unasema;
"....taarifa ya vyombo vya habari inasema kuwa mazungumzo hayo yalihusu kuisaidia ACT Wazalendo kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 dhidi ya vyama vya siasa vingine....."
Mwishoni Msajili anaagiza ACT Wazalendo kuwasilisha maelezo yao ili kujua ukweli wa jambo hili.....
Hapa ndipo penye shida;
1. Yaani umeshaupata ukweli kupitia "vyombo vya habari" tayari....
2. Halafu hapo hapo tena unataka maelezo toka kwa aliyekwisha kushuhudiwa "ukweli" dhidi yake na mtu mwingine "ili ujue ukweli wa jambo lilelile....!!
3. Mimi nadhani wangewaandikia kuwataka "wajitetee kwa nini wasichukuliwe hatua za kisheria kwa kosa hilo" kwa sababu tayari wanao "ukweli " mezani kwao kupitia gazeti la JAMVI LA HABARI....
NB: BY THE WAY, Msajili anadhani huyu Balozi wa UK hajui hizo sheria na pamoja na maadili ya kibalozi hats aamua kuyavunja hadharani?
Ndiyo, Zito Kabwe alikwenda kwa Balozi mchana kweupe na baadaye akatoka kurudi kwake mchana kweupe. Kwanini CCM mmeamua kuwa "so paranoid" kwa kiwango hiki kiasi ambacho hata jani tu la mwembe likiwatambaa kwenye miguu yenu, mnaruka juu na kudhani nyoka?? What's wrong with you??
HIVI WOGA WOTE HUU WA JIWE CHANZO CHAKE NI NINI?Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze.
Kulingana na barua hiyo,Msajili anataka kupata ukweli wa madai hayo yaliyoandikwa na vyombo vya habari.
Tweet yenye barua hiyo(barua ya tarehe 12/06/2020) imekuwa retweeted na baadhi ya watu akiwemo Zitto mwenyewe.
KWA HIYO MCHINA NI CITIZEN AU NON-CITIZEN?Wanadai China ni rafiki yao, rafiki huyu mapenzi yake yako kwenye nyara za serikali na madini ya nchi kuliko kwa marafiki zake.
Tatizo Zito alikwenda kuomba huruma ya mabeberu baada ya "MLEVI WA TAIFA" kuharibu taswira ya mawakala wa ubeberuMsajili wa vyama amepokea maelekezo kutoka kwa mtu anaepanick kuhusu uchaguzi 2020.
Tatizo sio kukutana na balozi. Tatizo ni kujadili uchaguzi kinyume na sheria. Jitahidi kuisoma barua ya msajili.bure kbs hawa...hebu imagine huyo balozi ni demu na ana mahusiano ya karibu na Zito, sasa hapa si tutasema msajili wa vyama vya siasa anamuonea wivu wa KIMAPENZI Zito?!.
yanakurupuka hovyo kutaka kumfurahisha mkuu wao ambaye naye kimsingi ndicho anachotaka...basi angalau watende kwa weledi japo kdg.
ni kama wale police wa dodoma na utunzi wao juu ya kushambuliwa kwa Mbowe
hivi msajili alisemaje kuhusu hili la CCM yetu?Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze.
Kulingana na barua hiyo,Msajili anataka kupata ukweli wa madai hayo yaliyoandikwa na vyombo vya habari.
Tweet yenye barua hiyo(barua ya tarehe 12/06/2020) imekuwa retweeted na baadhi ya watu akiwemo Zitto mwenyewe.
Huyo haramia hapo katikati hivi gukogo wapiNa kile chama kinacho mwalika balozi wa kichina na kuvaa sare yao wao nao wamepewa barua?
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Acheni uzushi, mh zitt anashutumiwa kutafuta msaada wa kifedha kwa ambassador ambap ni kinyume na sheria za uchaguzi.
Naona mmekuja na tafsiri zenu. Barua ile iko wazi, labda mtuambia msajili ameshindwa kutafsiri sheria alipoandika barua yake na kama ni hivyo basi hafai kuwa msajili.Tatizo sio kukutana na balozi. Tatizo ni kujadili uchaguzi kinyume na sheria. Jitahidi kuisoma barua ya msajili.
Mbona Chadema wana urafiki na Labour Party ya German.KWA HIYO MCHINA NI CITIZEN AU NON-CITIZEN?