Madakatari wanafunzi (Intern) waelekezwe

Madakatari wanafunzi (Intern) waelekezwe

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Hii ni True Story!
Nilikuwa na mgonjwa amelazwa ward hospitali ya Serikali ya Rufaa Zaidi ya wiki….
Pamoja na kuwa madaktari wa Intern walikuwa wanajitahidi sana ila walishindwa kujua tatizo lake, badala yake walikuwa wanaongeza tu dozi ya dawa moja wanayo ijua bila kujiuliza kwa nini haimsaidii mgonjwa?
Iko hivi; Primary Diagnosis ilisemekana mgonjwa ana maji mengi mwilini; hivyo akaanza kuchomwa sindano za kufanya mwili utoe hayo maji ya ziada kwa siku nne Intern wanachoma sindano hizo hizo (bila matokeo) na waliongeza Dozi hadi nilipoenda Phamacy kuchukua hizo dawa kwa kuwa alikuwa anatumia Bima nilikataliwa kwa kuwa mgonjwa mmoja hawezi kuandikia dozi kubwa kiasi hicho; ndio nilijua wameover dozi
ila naweza kusema tatizo kubwa ni aliyetakiwa kuwaelekeza cha kufanya/kuwasimamia

Dactari aliyetakiwa awaelekeze alikuwa anapita mara moja tena mchana wa saa nane na kutumia walau dakika mbili hivi kupewa taarifa na Dactari wa Intern aliyekuwepo siku hiyo.

Tatizo lingine kubwa hapa; hao Intern hawakuwa na Consistence; yaani Kila siku wanabadilishwa, anampa mgonjwa dawa leo, baada ya siku moja anapangiwa ward nyingine; hata kwa akili ya kawaida tu, hapo atakuwa amejifunza nini??? Wangefanya hata rotation ya week ingeweza kuwasaidia kujifunza

Nimeandika hivyo kwa kutumia uzoefu wa Udactari wa mifugo ambapo karibia 1/4 au zaidi ya dalili zinazo onekana kwenye baadhi ya magonjwa zimebadilika au niseme hazijaboreshwa kwenye mitaala hivyo anayeweza kujua cha kufanya ni Dactari mzoefu
 
Nilikuwa na mgonjwa amelazwa ward hospitali ya Serikali ya Rufaa Zaidi ya wiki….

Pamoja na kuwa madaktari wa Intern walikuwa wanajitahidi sana ila walishindwa kujua tatizo lake, badala yake walikuwa wan

Hao ma intern ndio baadhi wanaenda kupewa Hospitali labda za wilaya; hata sijui itakuwaje au ndio kufanya kazi kwa try and error
Huyo dr unae mhitaji nae alikuwa intern siku moja, anyway kwenye medicine hakuna try and error ila kulifikia jibu moja njia huwa ni nyingi kila mtu anaweza jenga hoja yake na njia yake ya kutatua mwisho wa siku mgonjwa anapona ila hakunaga try and error
 
Back
Top Bottom