Kwani ni dhambi kufanya tathmini?JPM kwa kucheza na akili za watu,yaani jambo walishafanya tathimini wakaona wana uwezo wa kuajiri madaktari 1000 kati ya 2700 walioko mtaani bila ajira!Sasa eti anajifanya ni maamuzi ya hapo hapo,anjiulizisha kwa waziri kama kuna hela za kulipa madaktari 1000 ili awape ajira,waziri naye chap chap akasema ndiyo!!!
Jamaa anapenda maigizo sana!
Wapi nimesema hivyo?Kwani ni dhambi kufanya tathmini?
Tusubiri huko pembezoni wataenda wangapi!Nimshukuru kwa moyo wa dhati Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutambua mchango wa madaktari na uhitaji wa wananchi kupata huduma zenye weledi.
leo hii ameagiza madaktari 1000 kuajiriwa...hili sio jambo dogo kiuchumi kwani wage bill katika sekta hii moja tu ni kubwa.
Jukumu la madaktari watakaopewa fursa ni kuhudumia vilivyo wananchi haswa maeneo yasiofikika kirahisi.hii inamaanisha Serikali ya CCM imedhamiria kifikisha huduma bora za Afya kivitendo...kwanza kwa kujenga miuondombinu ya Afya na sasa kwa kupeleka wataalamu.
Madaktari tutendee haki kiapo cha Appolo na kuhakikisha watu wanapona na kusaidika.
VIVA JPM ...HAPA KAZI TU
Do no harm..[emoji382][emoji382][emoji382]Nimshukuru kwa moyo wa dhati Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutambua mchango wa madaktari na uhitaji wa wananchi kupata huduma zenye weledi.
leo hii ameagiza madaktari 1000 kuajiriwa...hili sio jambo dogo kiuchumi kwani wage bill katika sekta hii moja tu ni kubwa.
Jukumu la madaktari watakaopewa fursa ni kuhudumia vilivyo wananchi haswa maeneo yasiofikika kirahisi.hii inamaanisha Serikali ya CCM imedhamiria kifikisha huduma bora za Afya kivitendo...kwanza kwa kujenga miuondombinu ya Afya na sasa kwa kupeleka wataalamu.
Madaktari tutendee haki kiapo cha Appolo na kuhakikisha watu wanapona na kusaidika.
VIVA JPM ...HAPA KAZI TU
Darmian..[emoji16][emoji16] acha tusubiri...How about Medical Labaratory graduates,Pharmacist,Nurses??
ila kwa sababu hii ni bongo muvi acha tupite kimya kimya
Sikari ni sh ngapi kwa kilo?
Subiri utawaona uwanja wa taifa wakijazana elfu kumi kwa ajili ya usaili wa hao watu elfu mojaNi kweli atatoa ajira 1,000 au fix tu? Maana huyo jamaa kwa fix, sijawa kumuamini kwa lolote. Ili niweze kuamini, nataka hao watakaoajiriwa tuone List ya majina yao matatu kwenye gazeti, na sehemu walizopagiwa ili tujiridhishe. Kinyume na hapo ni uongo kama uongo mwingine.