Madaktari baadhi yenu shida ni nini mtu anapotaka kufanya maamuzi yake?

BiancaEA

Member
Joined
Nov 23, 2025
Posts
41
Reaction score
80
Kila mwezi nina siku zangu tatu za kuumwa tumbo na kichwa kwa sababu ni kitu ambacho siwezi kukwepa. Sasa safari hii hali ilikuwa tofauti hata nilipomeza dawa za maumivu hazikunisaidia kutuliza chochote japo kwa saa moja. Hivyo ilibidi niende tu hospital nikawaeleza nikachomwa sindano ya maumivu wakasema nyingine ni baada ya saa8, kilichofuata ni kama nilienda kujiongezea tatizo la kichefuchefu, mwili kuwasha na kuvimba hata sikurudi kwa ajili ya sindano ya pili.

Nilijikaza nikalala na matumaini labda dawa inafanya kazi asubuhi nitaamka na nafuu lakini ndio kwanza mwili umezidi kuwasha na kuvimba. Imebidi nirudi hospital kuwaambia, kwa mara ya kwanza wakasema ni allergy imesababishwa na dawa na sijawahi kuwa na hilo tatizo katika kumbukumbu zangu.

Yote haya ni kwa sababu ya kuumwa tumbo, lakini sasa nilishachoka na madaktari kila nikiwaambia tuchukue maamuzi magumu ya kunisaidia ili niondokane na hii shida mazima hawajawahi kukubaliana na mimi, majibu yao ni haya;

-Wewe huna mtoto huwezi toa kizazi sasa
-Haya maamuzi yanasababishwa na maumivu ya muda uliyo nayo yakitulia utajutia
-Kwa sasa ni mapema sana subiri umri uende
-Usichukue maamuzi ambayo utakuja kuyajutia badae
-Wewe hujawahi shuhudia vile watu wanaumwa tatizo lako ni dogo

Lakini madaktari kwani ni nani alisema lazima kila mtu awe na watoto? na mbona kiungo ni changu, maumivu napata mimi, shida napata mimi mwenyewe, kero naiona mimi mwenyewe lakini wanakuwa wagumu kufanya nachotaka. Kuna muda nakereka mpaka nahisi kama nachazika
 
Wewe ni mdada au ni mshangazi?!
Kama ni mdada, Nitafute nikusaidie......
 
Maumivu ya hedhi siyo indication ya daktari kukutoa kizazi.

Na allergy ni kitu cha kawaida kutokea unapotumia baadhi ya dawa, ukipata allergy unapaswa kuwaambia ili wakuchome antidote yake. Hakuna dawa isiyo na antidote yake.

Cha msingi kwa sasa unge-concentrate na kukazana ili ushike mimba binti, acha kusumbua watu kwa mambo madogo yanayoweza kumalizwa na weqw kuvua chupi tu!
 
Do as you please...lakini kabla hujakatia tamaa hali yako, wekeza nguvu kupata majibu kutoka kwa madaktari nje ya Tanzania. Unaweza kukuta tatizo lako linatibika. Lakini pia, anza kujitibu kwa chakula na mitishamba. Afrika tumebarikiwa hivyo vitu
 
Mimi nilidhani daktari alishauri akysaidie kwa kukupa mtoto
 
Do as you please...lakini kabla hujakatia tamaa hali yako, wekeza nguvu kupata majibu kutoka kwa madaktari nje ya Tanzania. Unaweza kukuta tatizo lako linatibika. Lakini pia, anza kujitibu kwa chakula na mitishamba. Afrika tumebarikiwa hivyo vitu
Mitishamba walisema nisijaribu nitaua figo
 
Maumivu ya hedhi siyo indication ya daktari kukutoa kizazi.

Na allergy ni kitu cha kawaida kutokea unapotumia baadhi ya dawa, ukipata allergy unapaswa kuwaambia ili wakuchome antidote yake. Hakuna dawa isiyo na antidote yake.

Cha msingi kwa sasa unge-concentrate na kukazana ili ushike mimba binti, acha kusumbua watu kwa mambo madogo yanayoweza kumalizwa na weqw kuvua chupi tu!
Asante dear. Hata ivo sivai
 
Back
Top Bottom