Madaktari Bingwa wa Rais Samia Waleta Tabasamu Na kuwabubujisha machozi ya Furaha Wagonjwa Mbalimbali Mikoani

Upuz mtupu

Ova
Wewe wasema hivyo kwa kuwa hayajakufika .lakini siku maradhi yakikufika utalaani sana siku ulipoyatoa maneno haya. Utaomba huruma ya Mungu wakati wote ili ufikiwe na mkono wake kupitia madaktari bingwa. Utajikuta moyo wako sasa unaanza kuwa na huruma na kuwaonea huruma wapitiapo katika hali za magonjwa.
 
We endelea kusifia wewe ndiyo hayajakukuta

Ova
 
Yaan ni kama kulikua na Rais mwingine na wa Chama kingine aliongoza kwa miaka 60 akawafukuza madaktari wote bingwa mikoani kawaleta muhimbili sasa kama Mama Samia.

Ndendendeee Mwamba huyo…

Kawabeba madaktari wote kawapeleka mikoani wakakae na wagonjwa.

Hapo Hujui kama unakitukana Chama kijana.
 
Kwani ephen anasemaje😅😅😊😊
 
Kuna mijitu inakera hadi unatamani kama unafuga jibwa kali jitu hilo lipite karibu na nyumbani kwako ulisukumizie huko mbwa walifanye kitoweo,eti madaktari wa mama!
Umeambiwa huyo mama yako kawatoa nyumbani kwake!
No!Jitahidi kuvumilia katika kutofautiana mitizamo. Utaishi kwa raha.Inaweza ikawa siyo sana,ila ni raha muheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…