Madaktari Bingwa wa Rais Samia Waleta Tabasamu Na kuwabubujisha machozi ya Furaha Wagonjwa Mbalimbali Mikoani

Unafahamu gharama za kumuandaa mtu mpaka anakuwa daktari bingwa?
 
No!Jitahidi kuvumilia katika kutofautiana mitizamo. Utaishi kwa raha.Inaweza ikawa siyo sana,ila ni raha muheshimiwa.
Wengine ni wakuwasamehe bure tu maana unakuta mtu anaingia humu jukwaani akiwa amejaa msongo wa mawazo. Kwa hiyo anakuwa anatafuta pa kutolea mahasira yake. Uzuri wangu ni kuwa watu wa hivyo hawanipi shida zaidi ya kuwaambia tu kuwa "Amani ya Bwana iwe pamoja Nao."
 
Mwehu wewe chawa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nani asome gazeti Lalo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…