Madaktari bingwa wafanikiwa kumpandikiza binadamu moyo wa nguruwe

Huyo bin adam atakufa tu wala huo moyo hautaleta matokeo kwake
Wanafahamu atakufa kwani hakuwa ame-qualify kupata moyo mwingine wa binadamu, na wakaona anafaa kufanyiwa majaribio.

Hata hivyo huyu mgonjwa aliwahi kutumikia kifungo jela kwa kumchoma kisu mwanamme mwingine ambae alimhisi alikuwa na mahusiano na mkewe.

Hivyo alitumikia kifungo cha miaka 10 jela na alipotoka akawa na hilo tatizo.

Hili suala la kutumia mioyo ya wanyama limekuwa likifanyika nchini Marekani kwa siri.

Mwaka 1980 madaktari walipandikiza moyo wa sokwe kwa mtoto inasemwa ni (mtoto mwenye asili ya Afrika) aliezaliwa na moyo wenye tundu (congenital heart defect) na akafariki baada ya mwezi kutokana na mfumo wake wa kinga kukataa moyo huo wa sokwe.

Baada ya hiyo failure ndo wakaendelea na kumshughulikia zaidi nguruwe ili kupata moyo ambayo wafaa zaidi.
 
Moyo unatolewa yanayobaki yanaliwa🤣🤣
Si kweli.

Hawa nguruwe waitwa "GalSafe Pigs" hutayarishwa na kampuni moja yaitwa Revivicor ni regenerative medicine company.

Hii kampuni kazi yake ni kuwandaa hawa nguruwe na kisha kupata kibali kutoka FDAS ili watumiwe kwenye "Pharmacology".

Hivyo si nguruwe wa kawaida kiasi cha kumkarangiza na kumla.
 
Ngoja tuone matokeo ya kisayansi vs Muumba
 
Ofcourse hata huo moyo umeeditiwa genes. Hapa tunaleta utani tu
 
Unajua tofauti ya antigen na DNA?
 

Ivi hii inawezekana? Na unakuwa na akili ya kawaida au kuna namna unaweza kuathirika nakuwa na akili za nguruwe nguruwe
 
Kuna jamaa aliwahi kuandika kitabu chake cha dini, ambapo dini hiyo ndio mpaka sasa inakitumia kama kitabu cha kiada in every respect

Kwenye kitabu hicho aliweka mila ya watu wa middle east ya kutokula mdudu na kusema ni haramu

Kwa kuwa aliandika kitabu hicho kwa mafumbo na mfumo wa ushahiri wenye lugha za picha , wengi hawakumuelewa hasa kwenye bara la wenye nywele zinazofanana na lami.

Wengi wakimwona mdudu hata anajipitia zake huanza kumtoa nduki na kudhani ndio yule mwovu abaye kabla hawajaanza toba yoyote husema " tuepushe na mwovu........"

Madhalani , kama mimi ndio ningekuwa mwandishi wa kitabu hicho ningesema wazi " msimle mdudu kwani nyama yenu na yake zinafanana na nilikuumbeni kwa donge moja la udongo ila kila mmoja nikampa namna tofauti..Msiwale hao ni ndugu zenu na watawasaidia viungo tiba kwani hata mifumo niliokuwekeeni na wao nilibadilidha kidogo. Mwisho wa kunukuu
 
Swali la msingi ni umri wa nguruwe kuishi..
Nguruwe anaishi miaka minne maximum..
Je moyo wake utaendelea kuishi baada ya hapo?

Ila huyu mtu hatakiwi kula nyama ya nguruwe, wameshakuwa ndugu
Hahaaahaaaa nimecheka sana mpaka simu yangu imeporomoka,,akila kitumoto kamla ndugu yake teteeeeheteeee jf ukiwa na mawazo yanakuzongo we log in jf mambo yanakua poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…