Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ya redio one unaskiliza ya humu unajifanya hutaki..! ndo hvyo amefariki kwa tatizo la upumuaji, na tunaopenda taarifa muhimu tunaendelea kupeana..! mungu tuepushe na maradhi hatari ya virusi vya corona 😷 🙏Hivi siku hizi ni fahari kutangaza kila anaekufa?? Mnatuboa bwana
Huyo girl akishamaliza kulia muulize atakuambia.Kati ya haya majina mawili ni nani dokta Manywele. Kuna girl mmoja alikuwa analia jana kuwa daktari wao kipenzi wa utotoni amefariki. Ndio akawa anamuita Manywele
Kwanini tusifanye siku yako leo iwe imefika kwako uende tu ukanunue kamba hata ya mbuzi tu ukajinyonge?Siku ikifika imefika
Hivi huko mashuleni mlisomea ujinga.!?Siku ikifika imefika
Mbona unanitisha cc, si unajua nina Mr yuko huko lol.Sijui ndio hizo changamoto za upumuaji au kuna kitu kingine ila vifo vinafululiza mno hii Arusha...
Kuanzia Raska zone mpaka Arusha Meat pale ndani ya week 2 tu nimesikia misiba zaidi ya mitano. Na jioni hii mwingine tena yan mpaka mtu unapata woga kwenda kuhudhuria
hapana ni changamoto za upumuajiKwani wamekufa kwa kovid ?
Njoo umchukueMbona unanitisha cc, si unajua nina Mr yuko huko lol.
Ulikuwa unawahi kuharisha hata hujaelewa comment ila ukakurupuka kujibu. Nimesema alikuwa analia jana, wewe unasema akimaliza kulia anambie. Hata tenses hujuiHuyo girl akishamaliza kulia muulize atakuambia.