A
Anonymous
Guest
Madaktari hospitali ya wilaya katika Halmashauri ya Mpimbwe wanadai kunyimwa malipo ya call allowance tangu Februari mwaka jana, huku wakielezwa kuwa OC haijaingiziwa fedha hizo. Hata hivyo, fedha zimekuwa zikipokelewa lakini zinabadilishwa matumizi kinyume na kusudio lake na bila utaratibu wowote.
Kuna Muuguzi Mkuu wa Halmashauri (DNO) anahusika katika kubadili matumizi ya fedha hizo na kuwalazimisha madaktari kuwasilisha madai ya miezi miwili pekee mwaka huu, licha ya kudaiwa kudai malipo ya muda mrefu zaidi.
Hali hiyo imeelezwa kushusha morali ya madaktari kufanya huduma za dharura (on-call), jambo linaloweza kuathiri utoaji wa huduma kwa wananchi.
Muuguzi huyo amekuwa akitaka kuandikwa pia kwenye hayo malipo ya call allowance licha ya kwamba yeye hajashiriki, tunaomba kuufichua huu uovu.