GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nina ushahidi :-
Mtoto alinyonya miezi sita tu! Ni kipanga balaa
Naona unabishana na ushahidi.Wanasayansi na Watafiti wanasema ili Mtoto awe Mwerevu ( Intelligent ) anatakiwa anywe Maziwa kwa miaka miwili mfululizo Wewe tena ' unakurupuka ' na kusema kuwa wako Kanyonya kwa Miezi Sita tu halafu ni ' Kipanga ' balaa. au labda hapa umemaanisha Kinyume cha neno ' Kipanga ' hivyo unamaanisha kwamba huyo Mtoto ni Ngumbaru na Popoma balaa?
Kunyonyesha mtoto hasa katika miezi mitatu ya kwanza Jumamosi immune
miezi sita mtoto huanza kula vyakula vya kawaida, kunyonya inakuwa ni ziada.Wanasayansi na Watafiti wanasema ili Mtoto awe Mwerevu ( Intelligent ) anatakiwa anywe Maziwa kwa miaka miwili mfululizo Wewe tena ' unakurupuka ' na kusema kuwa wako Kanyonya kwa Miezi Sita tu halafu ni ' Kipanga ' balaa. au labda hapa umemaanisha Kinyume cha neno ' Kipanga ' hivyo unamaanisha kwamba huyo Mtoto ni Ngumbaru na Popoma balaa?
Usiamini kila wasemacho wataalamu.Wanasayansi na Watafiti wanasema ili Mtoto awe Mwerevu ( Intelligent ) anatakiwa anywe Maziwa kwa miaka miwili mfululizo Wewe tena ' unakurupuka ' na kusema kuwa wako Kanyonya kwa Miezi Sita tu halafu ni ' Kipanga ' balaa. au labda hapa umemaanisha Kinyume cha neno ' Kipanga ' hivyo unamaanisha kwamba huyo Mtoto ni Ngumbaru na Popoma balaa?
Usiamini kila wasemacho wataalamu.
Mfano:-
1).
Sigereti ni mbaya na ni hatari kwa afya (ndiyo inayouzwa sna na kulipa revenue ya kushiba)
2).
Bangi ni mbaya (wanaihalalisha kila kona kama hawana akili nzuri)
Wanasayansi hawajawahi kuifanya dunia iwe salama!
Don't trust them.
Nchi za wenzetu kunyonya miezi ya lzm 6 tu yatosha kama watoto wa Beckham lkn wewe uliyenyonya miaka minne mpaka leo ni kilaza na wala huna njia mbadala ya kujikwamua na serikali zaidi ya kusubili ajira za serikali.Kwamba wale Wanawake / akina Mama ambao huwanyonyesha Watoto Wao kwa miaka miwili mfululizo / kamili hao Watoto huja kuwa Vipanga ( Werevu / Intelligent ) sana / mno kuliko wale ambao huwanyonyesha Wao kwa ama miezi Sita au Mwaka mmoja ambao wengi Wao huja kuwa Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Mapopoma ) maishani?
Madaktari naomba mnijibu katika hili tafadhali.
Nawasilisha.
Kwamba wale Wanawake / akina Mama ambao huwanyonyesha Watoto Wao kwa miaka miwili mfululizo / kamili hao Watoto huja kuwa Vipanga ( Werevu / Intelligent ) sana / mno kuliko wale ambao huwanyonyesha Wao kwa ama miezi Sita au Mwaka mmoja ambao wengi Wao huja kuwa Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Mapopoma ) maishani?
Madaktari naomba mnijibu katika hili tafadhali.
Nawasilisha.
Wanasayansi na Watafiti wanasema ili Mtoto awe Mwerevu ( Intelligent ) anatakiwa anywe Maziwa kwa miaka miwili mfululizo Wewe tena ' unakurupuka ' na kusema kuwa wako Kanyonya kwa Miezi Sita tu halafu ni ' Kipanga ' balaa. au labda hapa umemaanisha Kinyume cha neno ' Kipanga ' hivyo unamaanisha kwamba huyo Mtoto ni Ngumbaru na Popoma balaa?
WHO recommends the same.Kunyonyesha mtoto hasa katika miezi mitatu ya kwanza kunampa immune system nzuri kutokana na maziwa ya kwanza kuwa. Watoto wanaonyonyeshwa na mama ni wachahche hupata matatizo ya pumu.
Kunyonyesha kunaleta bond kati ya mama na mtoto na humfanya mtoto awe mwenye kujiamini.
UNICEF wanashauri mtoto anyonye maziwa ya mama tu kwa miezi sita ya kwanza AMA sivyo kuwe na matatizo.