Madaktari hapa kuna ukweli wowote?

Madaktari hapa kuna ukweli wowote?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwamba wale Wanawake / akina Mama ambao huwanyonyesha Watoto Wao kwa miaka miwili mfululizo / kamili hao Watoto huja kuwa Vipanga ( Werevu / Intelligent ) sana / mno kuliko wale ambao huwanyonyesha Wao kwa ama miezi Sita au Mwaka mmoja ambao wengi Wao huja kuwa Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Mapopoma ) maishani?

Madaktari naomba mnijibu katika hili tafadhali.

Nawasilisha.
 
Kunyonyesha mtoto hasa katika miezi mitatu ya kwanza kunampa immune system nzuri kutokana na maziwa ya kwanza kuwa. Watoto wanaonyonyeshwa na mama ni wachahche hupata matatizo ya pumu.

Kunyonyesha kunaleta bond kati ya mama na mtoto na humfanya mtoto awe mwenye kujiamini.

UNICEF wanashauri mtoto anyonye maziwa ya mama tu kwa miezi sita ya kwanza AMA sivyo kuwe na matatizo.
 
Nina ushahidi :-
Mtoto alinyonya miezi sita tu! Ni kipanga balaa
 
Wanasayansi na Watafiti wanasema ili Mtoto awe Mwerevu ( Intelligent ) anatakiwa anywe Maziwa kwa miaka miwili mfululizo Wewe tena ' unakurupuka ' na kusema kuwa wako Kanyonya kwa Miezi Sita tu halafu ni ' Kipanga ' balaa. au labda hapa umemaanisha Kinyume cha neno ' Kipanga ' hivyo unamaanisha kwamba huyo Mtoto ni Ngumbaru na Popoma balaa?
 
Naona unabishana na ushahidi.
 
Maziwa ya mama ni muhimu sana. Mimi nilinyonya zaid ya miaka 5 hadi natoka chekechea nakuja kunyonya ndio maana nipo byee hahahahaha
 
Kunyonyesha mtoto hasa katika miezi mitatu ya kwanza Jumamosi immune
Wanasayansi na Watafiti wanasema ili Mtoto awe Mwerevu ( Intelligent ) anatakiwa anywe Maziwa kwa miaka miwili mfululizo Wewe tena ' unakurupuka ' na kusema kuwa wako Kanyonya kwa Miezi Sita tu halafu ni ' Kipanga ' balaa. au labda hapa umemaanisha Kinyume cha neno ' Kipanga ' hivyo unamaanisha kwamba huyo Mtoto ni Ngumbaru na Popoma balaa?
miezi sita mtoto huanza kula vyakula vya kawaida, kunyonya inakuwa ni ziada.
 
Wanasayansi na Watafiti wanasema ili Mtoto awe Mwerevu ( Intelligent ) anatakiwa anywe Maziwa kwa miaka miwili mfululizo Wewe tena ' unakurupuka ' na kusema kuwa wako Kanyonya kwa Miezi Sita tu halafu ni ' Kipanga ' balaa. au labda hapa umemaanisha Kinyume cha neno ' Kipanga ' hivyo unamaanisha kwamba huyo Mtoto ni Ngumbaru na Popoma balaa?
Usiamini kila wasemacho wataalamu.
Mfano:-
1).
Sigereti ni mbaya na ni hatari kwa afya (ndiyo inayouzwa sna na kulipa revenue ya kushiba)
2).
Bangi ni mbaya (wanaihalalisha kila kona kama hawana akili nzuri)

Wanasayansi hawajawahi kuifanya dunia iwe salama!
Don't trust them.
 
Sasa kama ni hivi na unasema tusiwaamini hawa Wataalam / Watafiti inakuwaje kwa mfano tukiwa ' Hoi ' tunaumwa tukienda huko Hospitalini huwa tunawakuta na wakituambia hata tunywe Mikojo na Makohozi yetu ili tuweze Kupona huwa tunawaamini kwa 100% na wala hatuwabishii pale pale kama tunavyofanya sasa kwakuwa tu tupo vyema Kiafya?
 
Ushahidi ninao wanangu mwenyewe wamenyonyeshwa miezi 6 bila kula kitu kingine CHOCHOTE Kisha wakaendelea kunyonya kwa miaka 2 huku wakila vyakula vya kulikiza kiukweli pana ukweli katika hilo
 
Kwamba wale Wanawake / akina Mama ambao huwanyonyesha Watoto Wao kwa miaka miwili mfululizo / kamili hao Watoto huja kuwa Vipanga ( Werevu / Intelligent ) sana / mno kuliko wale ambao huwanyonyesha Wao kwa ama miezi Sita au Mwaka mmoja ambao wengi Wao huja kuwa Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Mapopoma ) maishani?

Madaktari naomba mnijibu katika hili tafadhali.

Nawasilisha.
Nchi za wenzetu kunyonya miezi ya lzm 6 tu yatosha kama watoto wa Beckham lkn wewe uliyenyonya miaka minne mpaka leo ni kilaza na wala huna njia mbadala ya kujikwamua na serikali zaidi ya kusubili ajira za serikali.
 
Kwamba wale Wanawake / akina Mama ambao huwanyonyesha Watoto Wao kwa miaka miwili mfululizo / kamili hao Watoto huja kuwa Vipanga ( Werevu / Intelligent ) sana / mno kuliko wale ambao huwanyonyesha Wao kwa ama miezi Sita au Mwaka mmoja ambao wengi Wao huja kuwa Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Mapopoma ) maishani?

Madaktari naomba mnijibu katika hili tafadhali.

Nawasilisha.

Mkuu, hujakosea ni kweli mtoto anapaswa anyonye maziwa ya mama kwa miaka miwili--- hayo ni maagizo ya Mungu yamo ndani ya Qur'an tukufu na wataalamu wa lishe ya mama na mtoto wanakubaliana na muda huo kwa ajili ya afya kamili ya mtoto na kutokana na muda huo ndipo mtoto huwa na msingi imara wa afya katika maisha yake ya utu uzima.

kifupi ni kwamba kunyonyesha mtoto maziwa ya mama kwa miaka miwili ni agizo la Mungu.

Na hapo pia kuna faida nyingi kwa mama anayenyonyesha, tutajuzana baadaye.
 
Wanasayansi na Watafiti wanasema ili Mtoto awe Mwerevu ( Intelligent ) anatakiwa anywe Maziwa kwa miaka miwili mfululizo Wewe tena ' unakurupuka ' na kusema kuwa wako Kanyonya kwa Miezi Sita tu halafu ni ' Kipanga ' balaa. au labda hapa umemaanisha Kinyume cha neno ' Kipanga ' hivyo unamaanisha kwamba huyo Mtoto ni Ngumbaru na Popoma balaa?

Huna haja ya kuhangaika kuuliza uliza madaktari wewe!! Hebu muulize mamaako kwanza atakupa jibu.. muulize wewe kakunyonyesha kwa muda gani?? Akikujibu kakunyonyesha kwa mwezi mmoja tu basi wanasayansi wapo sahihi!!
 
Kunyonyesha mtoto hasa katika miezi mitatu ya kwanza kunampa immune system nzuri kutokana na maziwa ya kwanza kuwa. Watoto wanaonyonyeshwa na mama ni wachahche hupata matatizo ya pumu.

Kunyonyesha kunaleta bond kati ya mama na mtoto na humfanya mtoto awe mwenye kujiamini.

UNICEF wanashauri mtoto anyonye maziwa ya mama tu kwa miezi sita ya kwanza AMA sivyo kuwe na matatizo.
WHO recommends the same.
 
Back
Top Bottom