GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwamba wale Wanawake / akina Mama ambao huwanyonyesha Watoto Wao kwa miaka miwili mfululizo / kamili hao Watoto huja kuwa Vipanga ( Werevu / Intelligent ) sana / mno kuliko wale ambao huwanyonyesha Wao kwa ama miezi Sita au Mwaka mmoja ambao wengi Wao huja kuwa Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Mapopoma ) maishani?
Madaktari naomba mnijibu katika hili tafadhali.
Nawasilisha.
Madaktari naomba mnijibu katika hili tafadhali.
Nawasilisha.