Madaktari hasa wa Tanzania rudini maabara tena kuhusu ugonjwa wa U.T.I

Yaani juzi nimeenda kutembe kwa best yangu akasema mtoto wake anaumwa U.T.I nimeshaangaa sana na,ni mtoto wa mwaka 1.

Mimi huwa nachukia sana nikisikia kwamba demu anaumwa huo ugonjwa huwa nakosa amani
 
Ila mama zetu wa siku hizi mtoto anakaa na diaper muda mrefu.Unadhani hii itakua salama kwa afya ya mtoto?
 
Wewe ndo hujui mkuu,,,typhoid ndo haiwezekani lakini U.T.I dk 5 zinatosha kuthibitisha kupitia Microscop au deep stick

Ngoja nikupe shule kwanini Typhoid haipimwi kwa nusu saa
Hebu nitolee utapeli hapa,mpigie waziri umpe hiyo elimu siyo mimi.
 
Baba uti ipo kwenye std's hiyo ni mpya
Siku lazimishi katika Hilo kafungue vitabu vyako vyote na kwakuwa hujajua dalili za U.T.I na huwa unaichukulia juu juu sana na kuto kuelewa kwako kutakufanya unywe ma antibiotics mpaka uchoke.

Na kwa sababu hujaelewa nilipo sema U.T.I ipo katika kundi la STDs coz ni dalili zake inapokomaa sana hufikia kipind hutoa ute mweupe katika uume na dalil kama hzo katika magonjwa ya zina zipo kama kawa

Na ndio maana huwa unapewa ant biotics,ikiwa kubwa kidogo unachomwa gentamycn 160gOD au ceftriaxonOD ikifikia level konk kabisa unapewa penadul sindano moja kwa tako kila wiki kwa muda wa wiki 3

Kwahyo penda kujifunza nyie ndio madaktar au unao jifanya madokta hamna kitu empty set kichwani

Medicine is a noble professionalism

Ni pana sana
 
U.t.i ina sababishwa na mambo mengi sna mkuu , sio tu kua mchafu
Miongoni mwa sababu ni hizi zifuatazo

1. Kutumia chemical kupaka sehem za siri kama vile (baadhi ya powder )

2.kutopenda kunywa maji ya kutosha ( kutokunywa maji mara kwa mara ( hii hupelekea bacteria ambao wanaweza kuingia sehem za siri
kwa njia moja ama nyengine wasiwe flushed out , pia hupelekea mkojo kua very concentrated ( kuwemo na crystals ,na elements zengine nying ktk mkojo )

3. Kutokua na kawaida ya kujisafisha kwa kina dada punde tu baada ya sex na kua na utamaduni wa kulazishia kwa sisi wanaume

4. Kwa kina dada kua na kawaida ya kujisafisha kwa maji kutoka nyuma kuja mbele baaada ya haja kubwa hivyo wanamchukua bacteria ambae anaitwa Escherichia coli kutoka kwenye kinyesi kumleta kwenye uke na kutokana na wadada distance ya urethra zao na blader ni ndogo basi ndo maana wanaugua U.T.I mara kwa mara ukilinganisha na sisi wanaume kwani distance ya urethra zetu ni kubwa hadi kufikia urinary blader

5.kupendelea vinywaji vya chemical ambavyo vinaweza ku distarb kidney nephron ( glomerula) hivyo large molecules kama leucocytes , protein na blood( RBC ) kuweza kupenye had kuweza kuonekana ktk mkojo wanaojua wanajua kwamba upatikanaj wa protein ktk urine pia ni U.T.I

Nimezungumza hayo kwanza ili niende hasa directly kwenye sabbu ya kwanini kila sku ukienda hosp unaambiwa una u.t.i husan kwenye hospital za private kwa wakina dada

1. Poor test used to diagnose u.t.i ( kiilivyo ili kuthibitisha kama mtu anaugua real U.T.I lazima ufanye culture ( uoteshaji wa bacteria ) ukimaliza unafanya na sensitive test ( je ikiwa ipo u.t.i ni dawa gani itamtibu muhusika )

Sasa hospital zetu hakuna huo utaratibu watu wanapiga chemical na microscopical habar imeisha ndo maaana mara nying mda mwengin watu wanabandikwa u.t.i ambazo sio za ukwel

Mfano : mtu unamkuta na cells za epithilial ambazo ni moderate tu unamwambia ana u.t.i mtu huyo huyo pengine ka sex 3 hours ago

Tunajua epithilial ni cells ni cells zinazojenga kuta laini sasa kama mtu kapata msuguano wa sex lazima epicilial cells zitaonekana katika mkojo ila hospital hapo utakuta anapigwa powercef mtu huyu

2. Utumiaji wa antibiotic kiholela , wote tunajua antibiotic sio dawa za kutumia kama pipi hasa hasa strong antibiotic

Ila sasa watu wamefanya fashian akienda na ki u.t.i uchwara anapigwa powercef inafiga mda mtu anafanya DRUG RESISTANCE hivyo hata akiigua u.t.i ya ukwel na kupewa dawa za antibiotic bas dawa hizo hazimtibu u.t.i bali anaendelea kuwa na u.t.i yake na kwa vile hatuna utaratibu wa re - testing soon after treatment basi mtu anaamin u.t.i imepona kumbe bado ipo sema inasubir Immunity ikishuka tu inajitokeza

3.Bussiness reason: sababu ya mwisho ni ya kibiashara zaid hasa kwenye ma hospital ya private kuna madawa ya gharama(antibiotic ) sna kama vile augumentin , amoxyclave etc mtu hawezi kuacha hizi dawa zi expire katika phamancy hivyo hapo ni mwendo wa kuzitoa kwa njia yyte ile

Ndo pale nilipoongea hapo juu kwamba ukikutwa na moderate tu epithilial cells , hutoambiwa unywe maji ya kutosha badala yake utapigwa augumentin

Hizo ndo sababu nilizooona kwa expirience yngu
 
Hapana, hapana, hapana.

Huu ugonjwa limekua ni tatizo kubwa mno, tena mno... Yaani kama ungekua unatolewa takwimu si ajabu asilimia 99% ya wanawake wote wanaugua ugonjwa huu.

Taarifa za madaktari zinasema kisababishi kikuu ni uchafu kwa wakina mama katika sehemu zao za siri ambazo mara nyingi hutokana na kutojisafisha vizuri na kutumia vyoo vichafu.

Jamani hapana sitaki kuamini Tanzania tuna wanawake wachafu kiasi hiki maana tatizo hili limekithiri mno. Alaf WHY NOW? kwamba hapo mwanzo hatukuwahi kuwa wachafu?

Hapana madaktari rudini maabara mtuambie labda kuna chanzo kingine tofauti na hiki maana kama ni suala la uchafu this is too much. Hapana rudini maabara mtuambie labda kuna kingine tofauti na hiki mnachotuambia sasa, huu ugonjwa umezikithiri, hata mwanamke ajitahid vipi kuwa msafi bado ataupata tu.

Hapana rudini maabara mkauangalie tena ugonjwa huu
Hospital zimekuwa biashara kama zilivyo biashara nyingine. Lazima wauze bidhaa zao (dawa, vipimo vya maabara).
Kwa hiyo ajabu mtu kuandikiwa Typhoid, UTI, malaria na Neumonia ili atoke na mzigo was dawa baada ya vipimo lukuki.
 
Sikuwahi kuumwa UTI hadi last two months nilipopimwa na kukutwa na UTI nilikuwa mbishi kidogo ila ikabidi tu nitumie dawa japo niliwaza sana.
 
U.t.i ina sababishwa na mambo mengi sna mkuu , sio tu kua mchafu
Miongoni mwa sababu ni hizi zifuatazo

1. Kutumia chemical kupaka sehem za siri kama vile (baadhi ya powder )

2.kutopenda kunywa maji ya kutosha ( kunywa maji mara kwa mara ( hii hupelekea bacteria ambao wanaweza kuingia huku
kwa njia moja ama nyengine wasiwe flushed out , pia hupelekea mkojo kua very concentrated ( kuwemo na crystals ,na elements zengine nying ktk mkojo )

3. Kutokua na kawaida ya kujisafisha kwa kina dada punde tu baada ya sex na kua na utamaduni wa kulazishia kwa sisi wanaume

4. Kwa kina dada kua na kawaida ya kujisafisha kwa maji kutoka nyuma kuja mbele baaada ya haja kubwa hivyo wanamchukua bacteria ambae anaitwa Escherichia coli kutoka kwenye kinyesi kumleta kwenye uke na kutokana na wadada distance ya urethra zao na blader ni ndogo basi ndo maana wanaugua U.T.I mara kwa mara ukilinganisha na sisi wanaume kwani distance ya urethra zetu ni kubwa hadi kufikia urinary blader

5.kupendelea vinywaji vya chemical ambavyo vinaweza ku distarb kidney nephron ( glomerula) hivyo large molecules kama leucocytes , protein na blood( RBC ) kuweza kupenye had kuweza kuonekana ktk mkojo wanaojua wanajua kwamba upatikanaj wa protein ktk urine pia ni U.T.I

Nimezungumza hayo kwanza ili niende hasa directly kwenye sabbu ya kwanini kila sku ukienda hosp unaambiwa una u.t.i husan kwenye hospital za private kwa wakina dada

1. Poor test used to diagnose u.t.i ( kiilivyo ili kuthibitisha kama mtu anaugua real U.T.I lazima ufanye culture ( uoteshaji wa bacteria ) ukimaliza unafanya na sensitive test ( je ikiwa ipo u.t.i ni dawa gani itamtibu muhusika )

Sasa hospital zetu hakuna huo utaratibu watu wanapiga chemical na microscopical habar imeisha ndo maaana mara nying mda mwengin watu wanabandikwa u.t.i ambazo sio za ukwel

Mfano : mtu unamkuta na cells za epithilial ambazo ni moderate tu unamwambia ana u.t.i mtu huyo huyo pengine ka sex 3 hours ago

Tunajua epithilial ni cells ni cells zinazojenga kuta laini sasa kama mtu kapata msuguano wa sex kwann zisionekane hapo utakuta anapigwa powercef mtu huyu

2. Utumiaji wa antibiotic kiholela , wote tunajua antibiotic sio dawa za kutumia kama pipi hasa hasa strong antibiotic

Ila sasa watu wamefanya fashian akienda na ki u.t.i uchwara anapigwa powercef inafiga mda mtu anafanya DRUG RESISTANCE hivyo hata akiigua u.t.i ya ukwel na kupewa dawa za antibiotic bas dawa hizo hazimtibu u.t.i bali anaendelea kuwa na u.t.i yake na kwa vile hatuna utaratibu wa re - testing soon after treatment basi mtu anaamin u.t.i imepona kumbe bado ipo sema inasubir Immunity ikishuka tu inajitokeza

3.Bussiness reason: sababu ya mwisho ni ya kibiashara zaid hasa kwenye ma hospital ya private kuna madawa ya gharama(antibiotic ) sna kama vile augumentin , amoxyclave etc mtu hawezi kuacha hizi dawa zi expire katika phamancy hivyo hapo ni mwendo wa kuzitoa kwa njia yyte ile

Ndo pale nilipoongea hapo juu kwamba ukikutwa na moderate tu epithilial cells , hutoambiwa unywe maji ya kutosha badala yake utapigwa augumentin

Hizo ndo sababu nilizooona kwa expirience yngu
Na hicho ndicho kinachotokea epth cell zikiwa nying wanapigwa madoz ya kutosha na haswa mama wajawazto huwa huwa wanapigwa sana madoz na kwa mama mjazto ukitumia microscopic slide unakutana epth cells kibao sas akiblame kiuno,mgongo,na chini ya kitovu panauma na dk akiona epth cell hapo hapo doz ya kutosha
 
malaria 24hrs?kwanini wizara ilileta MRDT?
Serikali ingepiga marufuku hospitali kufanya kazi za kupima na kutibu.
Inasemekana kipimo kilichopendekezwa kupima maralia na wizara ya afya, na labda kutokana na methodology ya kipimo husika inahitajika zaidi ya masa 24 kiweze kusema kwa usahihi kama mtu na maralia au la.

lakini huwa inachukua wastani wa dak 20-30 kupata majibu, ukiwa na haraka sana hata 5minutes unapewa maralia yako.
 
Wewe ndo hujui mkuu,,,typhoid ndo haiwezekani lakini U.T.I dk 5 zinatosha kuthibitisha kupitia Microscop au deep stick

Ngoja nikupe shule kwanini Typhoid haipimwi kwa nusu saa
Deep stick sometimes usomaji wake unakuwa mgumu kwa mtu kuangalia rang zile

Njia pekee Ni kuotesha tu ( urine calct)
 
malaria 24hrs?kwanini wizara ilileta MRDT?
Majibu sahihi Ni ya microscopic slide tu na ndio maana ukimpima mtu ukimkuta na MRDT positive mpime kwa microscopic slide tena ujue ana rings ngapi mana katika MRDT inaonesha Ni aina na sio idad
 
Deep stick sometimes usomaji wake unakuwa mgumu kwa mtu kuangalia rang zile

Njia pekee Ni kuotesha tu ( urine calct)
Watu wanaongelea mikoba tu mkuu , nahis standard procedures wameziacha kwenye makaratasi na ktk vitabu
 
Majibu sahihi Ni ya microscopic slide tu na ndio maana ukimpima mtu ukimkuta na MRDT positive mpime kwa microscopic slide tena ujue ana rings ngapi mana katika MRDT inaonesha Ni aina na sio idad
kwahiyo mrdt ikiwa positive anakua hana malaria au anayo(asume hajatumia antimalaria yoyote)pia hiyo BS ndio inafanyika kwa 24hrs?
 
Watu wanaongelea mikoba tu mkuu , nahis standard procedures wameziacha kwenye makaratasi na ktk vitabu
Kufuata procedure za wizara ya afya na shirika la afya duniani Ni tabu sana

Na kila leo guardlines zinatoka kuhusu magonjwa mbali mbali ya wanadamu lakini wapi watu washafunika vitabu alichofundishwa ndicho hicho hicho anacho kichwani
 
kwahiyo mrdt ikiwa positive anakua hana malaria au anayo(asume hajatumia antimalaria yoyote)pia hiyo BS ndio inafanyika kwa 24hrs?
Positive iko malaria hyo wanaangalia idad ya rings na BS inaweza fanyika 24hrs kutokana na mazingra husika yaliopo mana slide zipo,blood ipo,field stain A na B zote ziko safi joto ya kukausha blood iko kwann usifanye? Kwa 24hrs?

Sema mara nying wataalamu wanakuwa washasepa mahome kwao inabd uwe mpole tu
 
nilichohoji kwenye hizo 24 hrs za BS ,ni lazima ifanye baada ya 24 hrs after preparation ya sample baada ya mdau kuwa na shaka na kipimo cha malaria kwa 30 min
Positive iko malaria hyo wanaangalia idad ya rings na BS inaweza fanyika 24hrs kutokana na mazingra husika yaliopo mana slide zipo,blood ipo,field stain A na B zote ziko safi joto ya kukausha blood iko kwann usifanye? Kwa 24hrs?

Sema mara nying wataalamu wanakuwa washasepa mahome kwao inabd uwe mpole tu
 
na hapa ndio kwenye tatizo kubwa la kutoa majibu ya uongo pia siku hizi kuna vyuo hivi( havina usajili) wanatoa course ya maabara kwa mwaka mmoja,course ambayo hata haijulikani na watimu ndio hao wamejaa kwenye private labs

Back
Top Bottom