Ila mama zetu wa siku hizi mtoto anakaa na diaper muda mrefu.Unadhani hii itakua salama kwa afya ya mtoto?Yaani juzi nimeenda kutembe kwa best yangu akasema mtoto wake anaumwa U.T.I nimeshaangaa sana na,ni mtoto wa mwaka 1.
Mimi huwa nachukia sana nikisikia kwamba demu anaumwa huo ugonjwa huwa nakosa amani
Hebu nitolee utapeli hapa,mpigie waziri umpe hiyo elimu siyo mimi.Wewe ndo hujui mkuu,,,typhoid ndo haiwezekani lakini U.T.I dk 5 zinatosha kuthibitisha kupitia Microscop au deep stick
Ngoja nikupe shule kwanini Typhoid haipimwi kwa nusu saa
Siku lazimishi katika Hilo kafungue vitabu vyako vyote na kwakuwa hujajua dalili za U.T.I na huwa unaichukulia juu juu sana na kuto kuelewa kwako kutakufanya unywe ma antibiotics mpaka uchoke.Baba uti ipo kwenye std's hiyo ni mpya
Hospital zimekuwa biashara kama zilivyo biashara nyingine. Lazima wauze bidhaa zao (dawa, vipimo vya maabara).Hapana, hapana, hapana.
Huu ugonjwa limekua ni tatizo kubwa mno, tena mno... Yaani kama ungekua unatolewa takwimu si ajabu asilimia 99% ya wanawake wote wanaugua ugonjwa huu.
Taarifa za madaktari zinasema kisababishi kikuu ni uchafu kwa wakina mama katika sehemu zao za siri ambazo mara nyingi hutokana na kutojisafisha vizuri na kutumia vyoo vichafu.
Jamani hapana sitaki kuamini Tanzania tuna wanawake wachafu kiasi hiki maana tatizo hili limekithiri mno. Alaf WHY NOW? kwamba hapo mwanzo hatukuwahi kuwa wachafu?
Hapana madaktari rudini maabara mtuambie labda kuna chanzo kingine tofauti na hiki maana kama ni suala la uchafu this is too much. Hapana rudini maabara mtuambie labda kuna kingine tofauti na hiki mnachotuambia sasa, huu ugonjwa umezikithiri, hata mwanamke ajitahid vipi kuwa msafi bado ataupata tu.
Hapana rudini maabara mkauangalie tena ugonjwa huu
Na hicho ndicho kinachotokea epth cell zikiwa nying wanapigwa madoz ya kutosha na haswa mama wajawazto huwa huwa wanapigwa sana madoz na kwa mama mjazto ukitumia microscopic slide unakutana epth cells kibao sas akiblame kiuno,mgongo,na chini ya kitovu panauma na dk akiona epth cell hapo hapo doz ya kutoshaU.t.i ina sababishwa na mambo mengi sna mkuu , sio tu kua mchafu
Miongoni mwa sababu ni hizi zifuatazo
1. Kutumia chemical kupaka sehem za siri kama vile (baadhi ya powder )
2.kutopenda kunywa maji ya kutosha ( kunywa maji mara kwa mara ( hii hupelekea bacteria ambao wanaweza kuingia huku
kwa njia moja ama nyengine wasiwe flushed out , pia hupelekea mkojo kua very concentrated ( kuwemo na crystals ,na elements zengine nying ktk mkojo )
3. Kutokua na kawaida ya kujisafisha kwa kina dada punde tu baada ya sex na kua na utamaduni wa kulazishia kwa sisi wanaume
4. Kwa kina dada kua na kawaida ya kujisafisha kwa maji kutoka nyuma kuja mbele baaada ya haja kubwa hivyo wanamchukua bacteria ambae anaitwa Escherichia coli kutoka kwenye kinyesi kumleta kwenye uke na kutokana na wadada distance ya urethra zao na blader ni ndogo basi ndo maana wanaugua U.T.I mara kwa mara ukilinganisha na sisi wanaume kwani distance ya urethra zetu ni kubwa hadi kufikia urinary blader
5.kupendelea vinywaji vya chemical ambavyo vinaweza ku distarb kidney nephron ( glomerula) hivyo large molecules kama leucocytes , protein na blood( RBC ) kuweza kupenye had kuweza kuonekana ktk mkojo wanaojua wanajua kwamba upatikanaj wa protein ktk urine pia ni U.T.I
Nimezungumza hayo kwanza ili niende hasa directly kwenye sabbu ya kwanini kila sku ukienda hosp unaambiwa una u.t.i husan kwenye hospital za private kwa wakina dada
1. Poor test used to diagnose u.t.i ( kiilivyo ili kuthibitisha kama mtu anaugua real U.T.I lazima ufanye culture ( uoteshaji wa bacteria ) ukimaliza unafanya na sensitive test ( je ikiwa ipo u.t.i ni dawa gani itamtibu muhusika )
Sasa hospital zetu hakuna huo utaratibu watu wanapiga chemical na microscopical habar imeisha ndo maaana mara nying mda mwengin watu wanabandikwa u.t.i ambazo sio za ukwel
Mfano : mtu unamkuta na cells za epithilial ambazo ni moderate tu unamwambia ana u.t.i mtu huyo huyo pengine ka sex 3 hours ago
Tunajua epithilial ni cells ni cells zinazojenga kuta laini sasa kama mtu kapata msuguano wa sex kwann zisionekane hapo utakuta anapigwa powercef mtu huyu
2. Utumiaji wa antibiotic kiholela , wote tunajua antibiotic sio dawa za kutumia kama pipi hasa hasa strong antibiotic
Ila sasa watu wamefanya fashian akienda na ki u.t.i uchwara anapigwa powercef inafiga mda mtu anafanya DRUG RESISTANCE hivyo hata akiigua u.t.i ya ukwel na kupewa dawa za antibiotic bas dawa hizo hazimtibu u.t.i bali anaendelea kuwa na u.t.i yake na kwa vile hatuna utaratibu wa re - testing soon after treatment basi mtu anaamin u.t.i imepona kumbe bado ipo sema inasubir Immunity ikishuka tu inajitokeza
3.Bussiness reason: sababu ya mwisho ni ya kibiashara zaid hasa kwenye ma hospital ya private kuna madawa ya gharama(antibiotic ) sna kama vile augumentin , amoxyclave etc mtu hawezi kuacha hizi dawa zi expire katika phamancy hivyo hapo ni mwendo wa kuzitoa kwa njia yyte ile
Ndo pale nilipoongea hapo juu kwamba ukikutwa na moderate tu epithilial cells , hutoambiwa unywe maji ya kutosha badala yake utapigwa augumentin
Hizo ndo sababu nilizooona kwa expirience yngu
Serikali ingepiga marufuku hospitali kufanya kazi za kupima na kutibu.
Inasemekana kipimo kilichopendekezwa kupima maralia na wizara ya afya, na labda kutokana na methodology ya kipimo husika inahitajika zaidi ya masa 24 kiweze kusema kwa usahihi kama mtu na maralia au la.
lakini huwa inachukua wastani wa dak 20-30 kupata majibu, ukiwa na haraka sana hata 5minutes unapewa maralia yako.
Deep stick sometimes usomaji wake unakuwa mgumu kwa mtu kuangalia rang zileWewe ndo hujui mkuu,,,typhoid ndo haiwezekani lakini U.T.I dk 5 zinatosha kuthibitisha kupitia Microscop au deep stick
Ngoja nikupe shule kwanini Typhoid haipimwi kwa nusu saa
Majibu sahihi Ni ya microscopic slide tu na ndio maana ukimpima mtu ukimkuta na MRDT positive mpime kwa microscopic slide tena ujue ana rings ngapi mana katika MRDT inaonesha Ni aina na sio idadmalaria 24hrs?kwanini wizara ilileta MRDT?
Watu wanaongelea mikoba tu mkuu , nahis standard procedures wameziacha kwenye makaratasi na ktk vitabuDeep stick sometimes usomaji wake unakuwa mgumu kwa mtu kuangalia rang zile
Njia pekee Ni kuotesha tu ( urine calct)
CultureMmh Hicho ni kipimo gan cha maralia kinachotumia masaa yote hayo.???
kwahiyo mrdt ikiwa positive anakua hana malaria au anayo(asume hajatumia antimalaria yoyote)pia hiyo BS ndio inafanyika kwa 24hrs?Majibu sahihi Ni ya microscopic slide tu na ndio maana ukimpima mtu ukimkuta na MRDT positive mpime kwa microscopic slide tena ujue ana rings ngapi mana katika MRDT inaonesha Ni aina na sio idad
Kufuata procedure za wizara ya afya na shirika la afya duniani Ni tabu sanaWatu wanaongelea mikoba tu mkuu , nahis standard procedures wameziacha kwenye makaratasi na ktk vitabu
Eenh nimekusoma vbaya au umemanisha ????Culture
Eenh nimekusoma vbaya au umemanisha ????Culture
Positive iko malaria hyo wanaangalia idad ya rings na BS inaweza fanyika 24hrs kutokana na mazingra husika yaliopo mana slide zipo,blood ipo,field stain A na B zote ziko safi joto ya kukausha blood iko kwann usifanye? Kwa 24hrs?kwahiyo mrdt ikiwa positive anakua hana malaria au anayo(asume hajatumia antimalaria yoyote)pia hiyo BS ndio inafanyika kwa 24hrs?
Positive iko malaria hyo wanaangalia idad ya rings na BS inaweza fanyika 24hrs kutokana na mazingra husika yaliopo mana slide zipo,blood ipo,field stain A na B zote ziko safi joto ya kukausha blood iko kwann usifanye? Kwa 24hrs?
Sema mara nying wataalamu wanakuwa washasepa mahome kwao inabd uwe mpole tu
Kufuata procedure za wizara ya afya na shirika la afya duniani Ni tabu sana
Na kila leo guardlines zinatoka kuhusu magonjwa mbali mbali ya wanadamu lakini wapi watu washafunika vitabu alichofundishwa ndicho hicho hicho anacho kichwani