Tuchambie nini Boss?
[/Q
Sijui, ila kutapaza kinyesi kwa maji ni hatari.Tuchambie nini Boss?
Hauko sahihi hata chembe , ni vema labda wewe mwenyewe kabla ya kuja hapa ungejiridhisha Kwa kujaribu kujua U.T.I ni kitu gani na kama kweli ni ugonjwa wa kuambukizwa kutoka chooni au kwingineko ( ni rahisi sana kujua hili ) , ukifanya uchunguzi utagundua kwamba watoto wadogo sana ndio wahanga wa huu ugonjwa , lakini mbona hawajawahi kuingia kwenye vyoo vya wakubwa ? hivi ni kweli wanawake hao uliowataja wanaumwa U.T.I , au ni makosa ya wataalam wa upimaji ?Hapana, hapana, hapana.
Huu ugonjwa limekua ni tatizo kubwa mno, tena mno... Yaani kama ungekua unatolewa takwimu si ajabu asilimia 99% ya wanawake wote wanaugua ugonjwa huu.
Taarifa za madaktari zinasema kisababishi kikuu ni uchafu kwa wakina mama katika sehemu zao za siri ambazo mara nyingi hutokana na kutojisafisha vizuri na kutumia vyoo vichafu.
Jamani hapana sitaki kuamini Tanzania tuna wanawake wachafu kiasi hiki maana tatizo hili limekithiri mno. Alaf WHY NOW? kwamba hapo mwanzo hatukuwahi kuwa wachafu?
Hapana madaktari rudini maabara mtuambie labda kuna chanzo kingine tofauti na hiki maana kama ni suala la uchafu this is too much. Hapana rudini maabara mtuambie labda kuna kingine tofauti na hiki mnachotuambia sasa, huu ugonjwa umezikithiri, hata mwanamke ajitahid vipi kuwa msafi bado ataupata tu.
Hapana rudini maabara mkauangalie tena ugonjwa huu
Baba uti ipo kwenye std's hiyo ni mpya
Hapana, hapana, hapana.

JoKweli aisee
Paracetamol haijawahi kutibu Malaria. Hii ni pain killer. Inapunguza maumivu.Shida ni pale unapopewa dawa ambayo inatibu UTI na maralia inatibu pia.
unazifaamu zile dawa zina paracetamal ndani yake?
U.t.i ina sababishwa na mambo mengi sna mkuu , sio tu kua mchafu
Miongoni mwa sababu ni hizi zifuatazo
1. Kutumia chemical kupaka sehem za siri kama vile (baadhi ya powder )
2.kutopenda kunywa maji ya kutosha ( kutokunywa maji mara kwa mara ( hii hupelekea bacteria ambao wanaweza kuingia sehem za siri
kwa njia moja ama nyengine wasiwe flushed out , pia hupelekea mkojo kua very concentrated ( kuwemo na crystals ,na elements zengine nying ktk mkojo )
3. Kutokua na kawaida ya kujisafisha kwa kina dada punde tu baada ya sex na kua na utamaduni wa kulazishia kwa sisi wanaume
4. Kwa kina dada kua na kawaida ya kujisafisha kwa maji kutoka nyuma kuja mbele baaada ya haja kubwa hivyo wanamchukua bacteria ambae anaitwa Escherichia coli kutoka kwenye kinyesi kumleta kwenye uke na kutokana na wadada distance ya urethra zao na blader ni ndogo basi ndo maana wanaugua U.T.I mara kwa mara ukilinganisha na sisi wanaume kwani distance ya urethra zetu ni kubwa hadi kufikia urinary blader
5.kupendelea vinywaji vya chemical ambavyo vinaweza ku distarb kidney nephron ( glomerula) hivyo large molecules kama leucocytes , protein na blood( RBC ) kuweza kupenye had kuweza kuonekana ktk mkojo wanaojua wanajua kwamba upatikanaj wa protein ktk urine pia ni U.T.I
Nimezungumza hayo kwanza ili niende hasa directly kwenye sabbu ya kwanini kila sku ukienda hosp unaambiwa una u.t.i husan kwenye hospital za private kwa wakina dada
1. Poor test used to diagnose u.t.i ( kiilivyo ili kuthibitisha kama mtu anaugua real U.T.I lazima ufanye culture ( uoteshaji wa bacteria ) ukimaliza unafanya na sensitive test ( je ikiwa ipo u.t.i ni dawa gani itamtibu muhusika )
Sasa hospital zetu hakuna huo utaratibu watu wanapiga chemical na microscopical habar imeisha ndo maaana mara nying mda mwengin watu wanabandikwa u.t.i ambazo sio za ukwel
Mfano : mtu unamkuta na cells za epithilial ambazo ni moderate tu unamwambia ana u.t.i mtu huyo huyo pengine ka sex 3 hours ago
Tunajua epithilial ni cells ni cells zinazojenga kuta laini sasa kama mtu kapata msuguano wa sex lazima epicilial cells zitaonekana katika mkojo ila hospital hapo utakuta anapigwa powercef mtu huyu
2. Utumiaji wa antibiotic kiholela , wote tunajua antibiotic sio dawa za kutumia kama pipi hasa hasa strong antibiotic
Ila sasa watu wamefanya fashian akienda na ki u.t.i uchwara anapigwa powercef inafiga mda mtu anafanya DRUG RESISTANCE hivyo hata akiigua u.t.i ya ukwel na kupewa dawa za antibiotic bas dawa hizo hazimtibu u.t.i bali anaendelea kuwa na u.t.i yake na kwa vile hatuna utaratibu wa re - testing soon after treatment basi mtu anaamin u.t.i imepona kumbe bado ipo sema inasubir Immunity ikishuka tu inajitokeza
3.Bussiness reason: sababu ya mwisho ni ya kibiashara zaid hasa kwenye ma hospital ya private kuna madawa ya gharama(antibiotic ) sna kama vile augumentin , amoxyclave etc mtu hawezi kuacha hizi dawa zi expire katika phamancy hivyo hapo ni mwendo wa kuzitoa kwa njia yyte ile
Ndo pale nilipoongea hapo juu kwamba ukikutwa na moderate tu epithilial cells , hutoambiwa unywe maji ya kutosha badala yake utapigwa augumentin
Hizo ndo sababu nilizooona kwa expirience yngu
Mkuu embu jaribu kuibadilisha hii...Kama maprofesa wenyewe ndiyo hawa walioko kwenye siasa wako hivyo (eg Kabudi) bila shaka na madaktari wako hivyo. ( Kumbuka ile ya Moi Kichwa Vs mguuu). Tanzania tujitathmini sana. Kusema kweli hatuna kitu sasa hivi. Kuanzia kwenye michezo nk. Siasa yenyewe ndo kabisaa. Kama mtu ana PHd na hajui Kiingereza unategemea nini. Tunajisifu eti hatushindwi vita, hiyo ni hoja ya ovyo hovyo. Jaribu kuingia vitani sasa hivi tuone..
Kipimo gani ulipima mkuuUTI ya bacteria infections ni chache sana tena sanaa..kuna baaz ya mitambo ya kupimia UTI mwisho wa kuona ni michubuko ktk njia ya mkojo sasa tatizo linaanzia je hiyo michubuko imesababishwa na bacteria au ni nini? Na madokta wengi wao wakishaona michubuko wanaandika UTI na wana assume ni infections wanatoa doz matokeo yake kila mwezi unarudi hospital. Nakumbuka nilienda mkoa fulani nikaanza kuumwa uo ugonjwa dah ilikua ndio mazoea kupigwa visindano vya UTI yaani mpaka hospital ikanizoea. Siku moja nikapata safari narudi dar nikasema nikapime mkojo pale regency nikapima asubuhi mpaka saa nne usiku ndio napata majibu ikanibidi nirudi kesho yake kumuona dokta. Dokta akaniambia ni kweli nimekua na michubuko kwenye njia ya mkojo lakini haisababishwi na bacteria, akaniambia mkojo wangu una chumvi nyingi sana mpaka kupeleke ile chumvi inatengeneza kama vimchanga hivi ndivyo vinavyosababisha hiyo michubuko. Wakaniambia ninaonekana sinywi maji mengi pia situmii vyakula na matunda yenye maji maji vya kutosha. Wakanipa dawa ya kuponya ile michubuko ila wakaniambia nisipobadirika ktk hilo nitakua naenda hospital daily, basi tangu uo mwaka nakumbuka ilikua 2013 mpaka leo siijui UTI