Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Unaelewa maana ya mechi kuwa rafu?Mechi kuwa rafu maana yake ni kufanya tendo wakati mwanamke hajawa tayari na hii hupelekea uke wake kuwa mkavu sana kitu ambacho huweza kusababisha michubuko kwa urahisi sana.Baada ya kugundua ndio nikamuanzishia dawa na mambo mengine muhimu.mechi kwa kweli ni rafu saana kupita kiasi