Madaktari, manesi na watu wa maabara ajira zenu ziko mashakani

Hii itakuwa kali,vumbi la kongo kupanda bei,kuibuka upwa kwa dawa za ajabuajabu za kienyeji kama mavi ya tembo,mafuta ya simba,manyoya ya sungura,majani ya miti na mizizi yake.Mfumo wa afya utavurugika sana.Hizi siasa za kikora si nzuri kwa maendeleo ya Taifa
Kipindi cha kutengeneza utajiri wa chap chap
 
Bora wapunguzwe tu we ukienda Muhimbili huduma zenyewe hovyo wanataka rushwa mgonjwa anaweza kulazwa humo anaongezewa drip tu vipimo hafanyiwi kila ukienda ukifuatilia wampime wanapiga chenga mara kesho atapimwa mara highpertension iko juu visingizio kibao hovyo kabisa kama huna hela ya kuhonga mgonjwa atakufa wanamwangalia.
Shame on you Kama mishahara midogo si muache kazi mkajiajiri huko mfungue hospital zenu mpige pesa nyingi.
Mlisomea masuala ya afya kuokoa uhai wa watu? au mtese viumbe vya Mungu siku ya Mwisho nyie ni motoni.​
Kazi hatuachii,,na tutapiga dili hadi kieleweke ,,baba yenu si kagoma kutuonheza mshahara!.. endeleen kuimba mapambio,,mnataka sisi tule nyadi?
 
Hii itakuwa kali,vumbi la kongo kupanda bei,kuibuka upwa kwa dawa za ajabuajabu za kienyeji kama mavi ya tembo,mafuta ya simba,manyoya ya sungura,majani ya miti na mizizi yake.Mfumo wa afya utavurugika sana.Hizi siasa za kikora si nzuri kwa maendeleo ya Taifa
Deep State wanatumia msambwanda kufikiria
 
Ndugu zangu watu sekta ya afya, nawaoneeni huruma sana tena sana. Kaka Beberu (🐐🐐 🇺🇸 a.k.a Rich Goat) anaenda kutupunguzia misaaada, ba ameenda mbali zaidi kwa kuwashawishi mijibeberu myenzao pia ifanye kutubana kutokana na wivu tu wa sisi kupanda daraja la kiuchumi.

Kutokana na hotuba ya Jana pale jumba la dhahabu, baba kaweka wazi mipango yake ya miaka mitano, hamna sehemu kataja mfuko wa bima ya afya, hi kwa ajira zenu sio changamoto.

Changamoto ni hii Hapa

View attachment 1626016
Yaani upo ndani ya ndoa, umeolewa, halafu bila kupepesa macho, mume anakutangazia rasmi, kuanzia leo wewe Mke wangu na msichana wa kazi, mna haki sawa na hadhi sawa.

Mkuu kasoma mchezo, kagundua hatutakuwa hatuna tena madawa ya msaada, Wala kasenti ketu hakatutoshelezi, hivyo basi, watu wa sekta ya afya mtapunguzwa ili kubana matumizi.

Kama ulikuwa hujui kubeti, Bora uanze kujifunza sasa.

Umechezea cadaver mwaka mzima halafu Manyaunyau na damu zake za paka anakuja kukuondoa wodini.

I love CCM
Daa nimechekaaa ...eti kama hujui kubeti anza kujifunza kumbe chama cha wazee kubeti kitaanza kuheshimikaaaa
 
Kama Bibi zenu na babu zenu hawataki kuwaachia urithi wa miti shamba ndo serikali inawasaidia ili muachiwe urithi huo, Tena Kila hospital na shule zipande dawa muhimu za asili kwaajili ya huduma za haraka yaani mtu ujikate kidogo eti hakuna hata Jani la kukamulia kidonda kikauke, kwa Hilo niko pamoja na JPM kikubwa dawa nzuri zinapatikana porini hivyo zisogezwe mjini kwenye huduma muhimu.
 
Hii itakuwa kali,vumbi la kongo kupanda bei,kuibuka upwa kwa dawa za ajabuajabu za kienyeji kama mavi ya tembo,mafuta ya simba,manyoya ya sungura,majani ya miti na mizizi yake.Mfumo wa afya utavurugika sana.Hizi siasa za kikora si nzuri kwa maendeleo ya Taifa
Huku ndio kuisoma namba kwenyewe
 
Kama Bibi zenu na babu zenu hawataki kuwaachia urithi wa miti shamba ndo serikali inawasaidia ili muachiwe urithi huo, Tena Kila hospital na shule zipande dawa muhimu za asili kwaajili ya huduma za haraka yaani mtu ujikate kidogo eti hakuna hata Jani la kukamulia kidonda kikauke, kwa Hilo niko pamoja na JPM kikubwa dawa nzuri zinapatikana porini hivyo zisogezwe mjini kwenye huduma muhimu.
Halafu Kuna shule watoto wanazimia kwa ajili ya kurogwa. Kuna haja Kila shule badala ya kuwa na mtoa huduma ya Kwanza kuwepo na sangoma, hiyo ni basic need
 
Ndugu zangu watu sekta ya afya, nawaoneeni huruma sana tena sana. Kaka Beberu ([emoji238][emoji238] [emoji631] a.k.a Rich Goat) anaenda kutupunguzia misaaada, ba ameenda mbali zaidi kwa kuwashawishi mijibeberu myenzao pia ifanye kutubana kutokana na wivu tu wa sisi kupanda daraja la kiuchumi.

Kutokana na hotuba ya Jana pale jumba la dhahabu, baba kaweka wazi mipango yake ya miaka mitano, hamna sehemu kataja mfuko wa bima ya afya, hi kwa ajira zenu sio changamoto.

Changamoto ni hii Hapa

View attachment 1626016
Yaani upo ndani ya ndoa, umeolewa, halafu bila kupepesa macho, mume anakutangazia rasmi, kuanzia leo wewe Mke wangu na msichana wa kazi, mna haki sawa na hadhi sawa.

Mkuu kasoma mchezo, kagundua hatutakuwa hatuna tena madawa ya msaada, Wala kasenti ketu hakatutoshelezi, hivyo basi, watu wa sekta ya afya mtapunguzwa ili kubana matumizi.

Kama ulikuwa hujui kubeti, Bora uanze kujifunza sasa.

Umechezea cadaver mwaka mzima halafu Manyaunyau na damu zake za paka anakuja kukuondoa wodini.

I love CCM
Hatuna Rais
 
Katika yoote nilichoshika ni KUBET TU ,Yec waambie waje huku tutie jackpot
 
Mkuu dawa nyingi formal zina side kubwa pia sasa matumizi ya dawa za asili hasa zinazotumia vyakula vya species , majani na mbegu za mimea imeongezeka nilidhani tungempongeza Mhe. Rais kwa kuona hill na kuruhusu rasmi pia vipato hasa vya wakulima vitaongeza na afya ya jamii itaimarika zaidi.
 
Ndugu zangu watu sekta ya afya, nawaoneeni huruma sana tena sana. Kaka Beberu ([emoji238][emoji238] [emoji631] a.k.a Rich Goat) anaenda kutupunguzia misaaada, ba ameenda mbali zaidi kwa kuwashawishi mijibeberu myenzao pia ifanye kutubana kutokana na wivu tu wa sisi kupanda daraja la kiuchumi.

Kutokana na hotuba ya Jana pale jumba la dhahabu, baba kaweka wazi mipango yake ya miaka mitano, hamna sehemu kataja mfuko wa bima ya afya, hi kwa ajira zenu sio changamoto.

Changamoto ni hii Hapa

View attachment 1626016
Yaani upo ndani ya ndoa, umeolewa, halafu bila kupepesa macho, mume anakutangazia rasmi, kuanzia leo wewe Mke wangu na msichana wa kazi, mna haki sawa na hadhi sawa.

Mkuu kasoma mchezo, kagundua hatutakuwa hatuna tena madawa ya msaada, Wala kasenti ketu hakatutoshelezi, hivyo basi, watu wa sekta ya afya mtapunguzwa ili kubana matumizi.

Kama ulikuwa hujui kubeti, Bora uanze kujifunza sasa.

Umechezea cadaver mwaka mzima halafu Manyaunyau na damu zake za paka anakuja kukuondoa wodini.

I love CCM
Hapa umechemka vibaya, huu ujinga wako haununuliki! !
 
Back
Top Bottom