Steelomega
Senior Member
- Aug 22, 2020
- 125
- 144
Wataachiwa wafanye mpaka upasuaji tuone.
Mkuu huko kamwe uwezo hawana ila magonjwa sugu kama pressure , kisukali , hiv haya kwa mfumo mzuri wa ulaji vyakula hawahitaji elimu kubwa kugundua kusaidia upatikanaji wa unafuu kwa wagonjwa , mkuu upasuaji hiyoni taaluma bingwa haibahatishi.