Madaktari, manesi na watu wa maabara ajira zenu ziko mashakani

Kipindi cha kutengeneza utajiri wa chap chap
 
Kazi hatuachii,,na tutapiga dili hadi kieleweke ,,baba yenu si kagoma kutuonheza mshahara!.. endeleen kuimba mapambio,,mnataka sisi tule nyadi?
 
Deep State wanatumia msambwanda kufikiria
 
Daa nimechekaaa ...eti kama hujui kubeti anza kujifunza kumbe chama cha wazee kubeti kitaanza kuheshimikaaaa
 
Kama Bibi zenu na babu zenu hawataki kuwaachia urithi wa miti shamba ndo serikali inawasaidia ili muachiwe urithi huo, Tena Kila hospital na shule zipande dawa muhimu za asili kwaajili ya huduma za haraka yaani mtu ujikate kidogo eti hakuna hata Jani la kukamulia kidonda kikauke, kwa Hilo niko pamoja na JPM kikubwa dawa nzuri zinapatikana porini hivyo zisogezwe mjini kwenye huduma muhimu.
 
Huku ndio kuisoma namba kwenyewe
 
Halafu Kuna shule watoto wanazimia kwa ajili ya kurogwa. Kuna haja Kila shule badala ya kuwa na mtoa huduma ya Kwanza kuwepo na sangoma, hiyo ni basic need
 
Hatuna Rais
 
Katika yoote nilichoshika ni KUBET TU ,Yec waambie waje huku tutie jackpot
 

Mkuu dawa nyingi formal zina side kubwa pia sasa matumizi ya dawa za asili hasa zinazotumia vyakula vya species , majani na mbegu za mimea imeongezeka nilidhani tungempongeza Mhe. Rais kwa kuona hill na kuruhusu rasmi pia vipato hasa vya wakulima vitaongeza na afya ya jamii itaimarika zaidi.
 
Hapa umechemka vibaya, huu ujinga wako haununuliki! !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…