Very ignorant thread. Uwepo wa tiba mbadala na ajira za manesi kutishiwavina uhusiano gani? Fika pale Muhimbili kuna kitengo kinafanya utafiti wa tiba mbadala. Kinachoenda kufanyika ni kuongeza nguvu tufike mahali tuweze fanya clinical trials za mitishaba ili iweze kutambulika katika dunia ya sayansi