Sina utaalam Sana ila Ninachojua kuanzia siku aliyoanza period mpaka siku ya kumi NI safe kwake, kuanzia siku ya 11 mpaka 18 ni hatari kwake. Sasa ukihesabau hapo kuanzia tarehe 9 basi zile siku zake safe Ambazo ni kumi zinaishia tarehe 18, means kuanzia tarehe19 mpaka 25 NI siku hatari kwake na wewe unasema umezini nae tarehe 21.Kivipi mkuu, siku ya hatari nikama ilishapita au?
Aisee,!Sina utaalam Sana ila Ninachojua kuanzia siku aliyoanza period mpaka siku ya kumi NI safe kwake, kuanzia siku ya 11 mpaka 18 ni hatari kwake. Sasa ukihesabau hapo kuanzia tarehe 9 basi zile siku zake safe Ambazo ni kumi zinaishia tarehe 18, means kuanzia tarehe19 mpaka 25 NI siku hatari kwake na wewe unasema umezini nae tarehe 21.
Hapo usijiulize maswali mkuu andaa hela ya beseniHabari wakuu, poleni na majukumu.
Naombeni kujua kama Kuna uwezekano wa huyu Binti kupata ujauzito.
Binti anasema mzunguko wake hubadilika japo kwasasa anasema ni siku 24 na anapata hedhi kwa siku 5, Sasa tarehe 9 mwezi huu wa 8 mda kama wa Saa 12 jioni aliniambia ameingia hedhi akamaliza tarehe 13 na mm nikakutana nae tarehe 21 mwezi huu, je Kuna uwezekano akashika ujauzito.
Ahsanteni 🙏🏽
Jiandae na clinic mkuu. Mambo yamekuwa mambo. Wewe ni Baba mtarajiwa.Habari wakuu, poleni na majukumu.
Naombeni kujua kama Kuna uwezekano wa huyu Binti kupata ujauzito.
Binti anasema mzunguko wake hubadilika japo kwasasa anasema ni siku 24 na anapata hedhi kwa siku 5, Sasa tarehe 9 mwezi huu wa 8 mda kama wa Saa 12 jioni aliniambia ameingia hedhi akamaliza tarehe 13 na mm nikakutana nae tarehe 21 mwezi huu, je Kuna uwezekano akashika ujauzito.
Ahsanteni 🙏🏽
Hiyo ni mimba mkuu hongereni,Hizo tarehe mbona ni kama sio za hatari lakini mkuu
Du unaweza kuchanganyikiwa wasi wasi ndio akili YakoHabari wakuu, poleni na majukumu.