OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Ipo hapo juuvideo ipo wapi?
Acha zako unataka uone nini?Video haionyeshi vizuri mkuu
kajembeAcha zako unataka uone nini?
😁😁😁kajembe
Hahahhahakajembe
Hahaha mkuu unataka kuangalia kajembe au nyonyokajembe
Hii ngumu kumeza kwasababu eneo hilo kuna mfupa mgumu na nyuma yake ndio mapafu na moyo vimekaa. Hakuna uwezekano wa hapo kupumua hvyo aidha kuwe na tobo na moyo uko juu ya hyo skeleton ya kifua. Mh mambo haya aende hospitali aisee ten kubwa au private ale xray wabobez waone kunaniHellow wakuu,
Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,
Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"
Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second
Hii ni ya miaka mibgi.
Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa
Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa
Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam
Nawasilisha
kajembe acheni fikra potofuHahaha mkuu unataka kuangalia kajembe au nyonyo
mpeleke akapatiwe matibabu ya Madonda ya Tumbo .Hellow wakuu,
Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,
Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"
Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second
Hii ni ya miaka mibgi.
Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa
Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa
Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam
Nawasilisha
Slianza kuhisi hivyo toka akiwa na miaka mingapi ?Hellow wakuu,
Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,
Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"
Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second
Hii ni ya miaka mibgi.
Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa
Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa
Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam
Nawasilisha
Mwambie aache Imani za kishirikina. Hizo chale 3 kifuani ni ishara ya ulozi na alama za shetani Huwa hazifutiki hata kwa make upHellow wakuu,
Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,
Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"
Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second
Hii ni ya miaka mibgi.
Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa
Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa
Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam
Nawasilisha
Huo sio uchawi ni route ya drug administration kizungu inaitwa subcutaneous routeMwambie aache Imani za kishirikina. Hizo chale 3 kifuani ni ishara ya ulozi na alama za shetani Huwa hazifutiki hata kwa make up
Ndo maana nimeleta uzi ili tuone kama kuna specialist humu atatusaidiaHuu ugonjwa uwa unatibiwa kienyeji mkuu
Kazunguka sana hukompeleke akapatiwe matibabu ya Madonda ya Tumbo .