OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hellow wakuu,
Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,
Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"
Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second
Hii ni ya miaka mibgi.
Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa
Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa
Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam
Nawasilisha