Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani kitaalam, kienyeji huku wanaita "kajembe"

The extremity of midsternurm the xiphoid process of midsternum

Sunken xiphoid process with visible abnormal heart beats
 
Ugonjwa wa moyo
 
Huo sio uchawi ni route ya drug administration kizungu inaitwa subcutaneous route

Pima kitu kwa facts
Kwa hivyo hizo chale ni cannula ya waganga wa kienyeji? Ukiwa unamchumbia mwanamke kabla mkakubaliana kuenda faragha kabla ya ndoa ukimkuta mwilini na hayo machale utaendeleza uchumba?
 
Duh πŸ™„ mpaka ana hyper activity kweye precordial, Si aende tu hospitali akafanyiwe vipimo vya echocardiogram,electrocardiogram pamoja na Beta natriuretic peptide.

Huko watajua tatizo gani linalomsumbua ili wamsaidie maana mapigo ya moyo kuwa juu pamoja na kifua kubana hizo ni dalili mbaya.
 
Alishaenda ikashindikana

Alafu mkuu kuona tatizo na kulitatua ni mambo mawili tofauti
 
Nipo hapa nafanyabresearch nione hizi dawa anazopewa za asili zitamsaidiaje
 
Kwanza mpe pole halafu msaidie afike Hospitali wanaweza kuchunguza kama tatizo ni angina pectoris. (BTW: mm sio daktari)
 
Kwanza mpe pole halafu msaidie afike Hospitali wanaweza kuchunguza kama tatizo ni angina pectoris. (BTW: mm sio daktari)
Mkuu

Angina pectoris huwa haina hizo characteristics

Yenyewe mtu husikia maumivu makali kama kisu kinakata kifuani akiinama yanapungua kidogo ila akikimboa au kufanya kazi yanaanza

Pia maumivu ya kichwa huwa ni nadra sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…