OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
- #21
Fikra potofu ziko wapi hapokajembe acheni fikra potofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fikra potofu ziko wapi hapokajembe acheni fikra potofu
Huko kazunguka sana ndio akajaribu tiba mbadara kaja hapa kwa babuHope atahamia tiba za hospital
The extremity of midsternurm the xiphoid process of midsternumHii ngumu kumeza kwasababu eneo hilo kuna mfupa mgumu na nyuma yake ndio mapafu na moyo vimekaa. Hakuna uwezekano wa hapo kupumua hvyo aidha kuwe na tobo na moyo uko juu ya hyo skeleton ya kifua. Mh mambo haya aende hospitali aisee ten kubwa au private ale xray wabobez waone kunani
Omba yasikukuteHahahhaha
Ugonjwa wa moyoHellow wakuu,
Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,
Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"
Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second
Hii ni ya miaka mibgi.
Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa
Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa
Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam
Nawasilisha
Kwa hivyo hizo chale ni cannula ya waganga wa kienyeji? Ukiwa unamchumbia mwanamke kabla mkakubaliana kuenda faragha kabla ya ndoa ukimkuta mwilini na hayo machale utaendeleza uchumba?Huo sio uchawi ni route ya drug administration kizungu inaitwa subcutaneous route
Pima kitu kwa facts
Shida hiyo Ina mahusiano na madonda ya tumbo ya juu?mpeleke akapatiwe matibabu ya Madonda ya Tumbo .
Unaitwaje kitaalamUgonjwa wa moyo
Alishaenda ikashindikanaDuh 🙄 mpaka ana hyper activity kweye precordial, Si aende tu hospitali akafanyiwe vipimo vya echocardiogram,electrocardiogram pamoja na Beta natriuretic peptide.
Huko watajua tatizo gani linalomsumbua ili wamsaidie maana mapigo ya moyo kuwa juu pamoja na kifua kubana hizo ni dalili mbaya.
Wewe unafurahishaUCHAWI HUO au MAPEPO yanaingia kwenye Nervous system.
Nipo hapa nafanyabresearch nione hizi dawa anazopewa za asili zitamsaidiajeDuh 🙄 mpaka ana hyper activity kweye precordial, Si aende tu hospitali akafanyiwe vipimo vya echocardiogram,electrocardiogram pamoja na Beta natriuretic peptide.
Huko watajua tatizo gani linalomsumbua ili wamsaidie maana mapigo ya moyo kuwa juu pamoja na kifua kubana hizo ni dalili mbaya.
Utotoni hakua na congenital heart disease! pia vipimo vyote vikubwa alifanya au anazuga tu.Alishaenda ikashindikana
Alafu mkuu kuona tatizo na kulitatua ni mambo mawili tofauti
Duh 🙄Nipo hapa nafanyabresearch nione hizi dawa anazopewa za asili zitamsaidiaje
MkuuDuh 🙄
Kwanza mpe pole halafu msaidie afike Hospitali wanaweza kuchunguza kama tatizo ni angina pectoris. (BTW: mm sio daktari)Hellow wakuu,
Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,
Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"
Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second
Hii ni ya miaka mibgi.
Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa
Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa
Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam
Nawasilisha
MkuuKwanza mpe pole halafu msaidie afike Hospitali wanaweza kuchunguza kama tatizo ni angina pectoris. (BTW: mm sio daktari)