Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani kitaalam, kienyeji huku wanaita "kajembe"

Hii ngumu kumeza kwasababu eneo hilo kuna mfupa mgumu na nyuma yake ndio mapafu na moyo vimekaa. Hakuna uwezekano wa hapo kupumua hvyo aidha kuwe na tobo na moyo uko juu ya hyo skeleton ya kifua. Mh mambo haya aende hospitali aisee ten kubwa au private ale xray wabobez waone kunani
The extremity of midsternurm the xiphoid process of midsternum

Sunken xiphoid process with visible abnormal heart beats
 
Hellow wakuu,

Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,

Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"

Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second

Hii ni ya miaka mibgi.

Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa

Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa

Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam

Nawasilisha
Ugonjwa wa moyo
 
Huo sio uchawi ni route ya drug administration kizungu inaitwa subcutaneous route

Pima kitu kwa facts
Kwa hivyo hizo chale ni cannula ya waganga wa kienyeji? Ukiwa unamchumbia mwanamke kabla mkakubaliana kuenda faragha kabla ya ndoa ukimkuta mwilini na hayo machale utaendeleza uchumba?
 
Duh 🙄 mpaka ana hyper activity kweye precordial, Si aende tu hospitali akafanyiwe vipimo vya echocardiogram,electrocardiogram pamoja na Beta natriuretic peptide.

Huko watajua tatizo gani linalomsumbua ili wamsaidie maana mapigo ya moyo kuwa juu pamoja na kifua kubana hizo ni dalili mbaya.
 
Alishaenda ikashindikana

Alafu mkuu kuona tatizo na kulitatua ni mambo mawili tofauti
 
Duh 🙄 mpaka ana hyper activity kweye precordial, Si aende tu hospitali akafanyiwe vipimo vya echocardiogram,electrocardiogram pamoja na Beta natriuretic peptide.

Huko watajua tatizo gani linalomsumbua ili wamsaidie maana mapigo ya moyo kuwa juu pamoja na kifua kubana hizo ni dalili mbaya.
Nipo hapa nafanyabresearch nione hizi dawa anazopewa za asili zitamsaidiaje
 
Hellow wakuu,

Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,

Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"

Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second

Hii ni ya miaka mibgi.

Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa

Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa

Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam

Nawasilisha
Kwanza mpe pole halafu msaidie afike Hospitali wanaweza kuchunguza kama tatizo ni angina pectoris. (BTW: mm sio daktari)
 
Mkuu

Angina pectoris huwa haina hizo characteristics

Yenyewe mtu husikia maumivu makali kama kisu kinakata kifuani akiinama yanapungua kidogo ila akikimboa au kufanya kazi yanaanza

Pia maumivu ya kichwa huwa ni nadra sana
 
Back
Top Bottom