Asante mkuu. Aendelee kupambana na Mungu amjalie wepesi aweze kupata suluhisho la tatizo linalomsibu.Mkuu
Angina pectoris huwa haina hizo characteristics
Yenyewe mtu husikia maumivu makali kama kisu kinakata kifuani akiinama yanapungua kidogo ila akikimboa au kufanya kazi yanaanza
Pia maumivu ya kichwa huwa ni nadra sana
Nilikuwa Bize sana Hapa Kati kati..DR Mambo Jambo kitambo sana sikuoni mkuu nakosa kabisa mawazo mapya au challenge
Hellow wakuu,
Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,
Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"
Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second
Hii ni ya miaka mibgi.
Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa
Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa
Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam
Nawasilisha
Hii shida ya kubana kifua na kushindwa kupumua ni tatizo la gastro oesophagus reflux diseaseHellow wakuu,
Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,
Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"
Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second
Hii ni ya miaka mibgi.
Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa
Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa
Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam
Nawasilisha
Mh. Asante bwana daktariThe extremity of midsternurm the xiphoid process of midsternum
Sunken xiphoid process with visible abnormal heart beats
Mimi sio daktari nipo gamboshi huku najifunza uchawiMh. Asante bwana daktari
Sasa mkuu kama ni Gastro oesophageal disease huoni hizo abnormal heart beats na mgonjwa anakula vizuri tu wala hapati shidaHii shida ya kubana kifua na kushindwa kupumua ni tatizo la gastro oesophagus reflux disease
Alishaenda katembea sana,Pole sana.
Kwa haya maelezo kidogo na hiyo video anaweza kuwa na matatizo ya moyo, mfumo wa chakula na hewa/mapafu. Mfano Valvular Heart disease (VHD); Rheumatic Heart disease (RHD), GERD, nk
Ni muhimu akaenda hospital akaonwe na daktari bingwa wa moyo kwa ajili ya uchunguzi, vipimo na matibabu sahihi.
Kila la kheri.
Ahsante sana mkuuNilikuwa Bize sana Hapa Kati kati..
Ila kwa sasa nitakuwa naibia ibia..
Kuhusu Mgonjwa wako kwa Maelezo Uliyoyatoa naweza Nikatoa Differential au Niseme Impression ya Magonjwa Kadhaa maana Ningemchunguza kwa Mikono yangu Ningekuwa na wigo mpana Wa Ugonjwa Mmoja kimaamuzi ila kwakuwa Kuna video na Maelezo naweza Nikavitumia Hivyo Pia...
Huenda Ana Tatizo la "Pectus Excavatum" ambayo Huonekana kutokana na Kubonyea kwa Sternum (Mbonyeo wake unategemea Na severity ya Mfupo kubonyea)..
Kutokana na Kubonyea Huko Ndyo Haswa kunamfanya Apumue haraka kwa sababu hukandamiza Mapafu na Hivyo Kupelekea Kuhitaji Nafasi kubwa Ya Kupumua..
Hivyo hata uwezo wa Kurespire huzidi..
Huenda akawa na GERD (Gastro Oesophageal Reflux Disease) ambayo Ina mimic magonjwa mengi sana ya Cardiovascular na Respiratory..
Na mwisho anaweza kuwa na Ugonjwa wa Moyo
Kikubwa sasa afanye Vipimo vya Xray, Echo,Spirometry, na Ikiwezekana CT scan ya Mapafu..
Wewe ni fwalaa... 😀 😀kajembe
Aende Hospital possible ni heart disease kwa kufauata maelekezo yakovideo ipo wapi?
Nadhan ni aina ya chembe ya moyoHellow wakuu,
Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,
Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"
Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second
Hii ni ya miaka mibgi.
Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa
Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa
Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam
Nawasilisha
Muulize vip ndui aliyo nayo sio ushirikinaHuo sio uchawi ni route ya drug administration kizungu inaitwa subcutaneous route
Pima kitu kwa facts
Nimetoa Differential Kwa sababu Sijamgusa Mgonjwa Ili kupata Picha ya ugonjwa lazima Daktari amuone mgonjwa..Ahsante sana mkuu
Shida katembea sana huko hospitali mpaka kafikia kutafuta tiba mbadala ila kwa experience yangu ugonjwa kama huu kienyeji unaitwa kajembe na watu wengi wanao na wanaufahamu na hutibika kienyeji
Kama umetoa differencial diagnosis nyingi nyingi tena generaly ni wazi kuwa huu ugonjwa ni complex bado hauna maelezo zaidi kitaalam ni kweli au si kweli?
Ahsante kwa mchango wako mkuuNimetoa Differential Kwa sababu Sijamgusa Mgonjwa Ili kupata Picha ya ugonjwa lazima Daktari amuone mgonjwa..
Kwakuwa Tatizo hilo ni la Mifupa Nakushauri Ukienda MOI watajua Ni nini Kinamsumbua