Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani kitaalam, kienyeji huku wanaita "kajembe"

Mkuu

Angina pectoris huwa haina hizo characteristics

Yenyewe mtu husikia maumivu makali kama kisu kinakata kifuani akiinama yanapungua kidogo ila akikimboa au kufanya kazi yanaanza

Pia maumivu ya kichwa huwa ni nadra sana
Asante mkuu. Aendelee kupambana na Mungu amjalie wepesi aweze kupata suluhisho la tatizo linalomsibu.
 
DR Mambo Jambo kitambo sana sikuoni mkuu nakosa kabisa mawazo mapya au challenge
Nilikuwa Bize sana Hapa Kati kati..
Ila kwa sasa nitakuwa naibia ibia..

Kuhusu Mgonjwa wako kwa Maelezo Uliyoyatoa naweza Nikatoa Differential au Niseme Impression ya Magonjwa Kadhaa maana Ningemchunguza kwa Mikono yangu Ningekuwa na wigo mpana Wa Ugonjwa Mmoja kimaamuzi ila kwakuwa Kuna video na Maelezo naweza Nikavitumia Hivyo Pia...

Huenda Ana Tatizo la "Pectus Excavatum" ambayo Huonekana kutokana na Kubonyea kwa Sternum (Mbonyeo wake unategemea Na severity ya Mfupo kubonyea)..
Kutokana na Kubonyea Huko Ndyo Haswa kunamfanya Apumue haraka kwa sababu hukandamiza Mapafu na Hivyo Kupelekea Kuhitaji Nafasi kubwa Ya Kupumua..
Hivyo hata uwezo wa Kurespire huzidi..

Huenda akawa na GERD (Gastro Oesophageal Reflux Disease) ambayo Ina mimic magonjwa mengi sana ya Cardiovascular na Respiratory..

Na mwisho anaweza kuwa na Ugonjwa wa Moyo

Kikubwa sasa afanye Vipimo vya Xray, Echo,Spirometry, na Ikiwezekana CT scan ya Mapafu..
 
Hellow wakuu,

Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,

Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"

Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second

Hii ni ya miaka mibgi.

Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa

Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa

Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam

Nawasilisha

Pole sana.

Kwa haya maelezo kidogo na hiyo video anaweza kuwa na matatizo ya moyo, mfumo wa chakula na hewa/mapafu. Mfano Valvular Heart disease (VHD); Rheumatic Heart disease (RHD), GERD, nk

Ni muhimu akaenda hospital akaonwe na daktari bingwa wa moyo kwa ajili ya uchunguzi, vipimo na matibabu sahihi.

Kila la kheri.
 
Hii shida ya kubana kifua na kushindwa kupumua ni tatizo la gastro oesophagus reflux disease
 
Sasa mkuu kama ni Gastro oesophageal disease huoni hizo abnormal heart beats na mgonjwa anakula vizuri tu wala hapati shida

Unaweza kuelezea kitaalam? (Pathophysiology?)
 
Pole sana.

Kwa haya maelezo kidogo na hiyo video anaweza kuwa na matatizo ya moyo, mfumo wa chakula na hewa/mapafu. Mfano Valvular Heart disease (VHD); Rheumatic Heart disease (RHD), GERD, nk

Ni muhimu akaenda hospital akaonwe na daktari bingwa wa moyo kwa ajili ya uchunguzi, vipimo na matibabu sahihi.

Kila la kheri.
Alishaenda katembea sana,

Mkuu unaweza kuelezea pathophysiology ya hiyo hali? Mpaka akawa na sunken xiphoid process with visible abnormal heart beats?

Point ya huu uzi ndio hio huku hawajui kitaalam huo ugonjwa unaitwaje wao wanauiita KAJEMBE na wanatibu kienyeji nikawq nipo interested kujua kitaalam inaitwaje na inatokeaje
 
Nilikuwa Bize sana Hapa Kati kati..
Ila kwa sasa nitakuwa naibia ibia..

Kuhusu Mgonjwa wako kwa Maelezo Uliyoyatoa naweza Nikatoa Differential au Niseme Impression ya Magonjwa Kadhaa maana Ningemchunguza kwa Mikono yangu Ningekuwa na wigo mpana Wa Ugonjwa Mmoja kimaamuzi ila kwakuwa Kuna video na Maelezo naweza Nikavitumia Hivyo Pia...

Huenda Ana Tatizo la "Pectus Excavatum" ambayo Huonekana kutokana na Kubonyea kwa Sternum (Mbonyeo wake unategemea Na severity ya Mfupo kubonyea)..
Kutokana na Kubonyea Huko Ndyo Haswa kunamfanya Apumue haraka kwa sababu hukandamiza Mapafu na Hivyo Kupelekea Kuhitaji Nafasi kubwa Ya Kupumua..
Hivyo hata uwezo wa Kurespire huzidi..

Huenda akawa na GERD (Gastro Oesophageal Reflux Disease) ambayo Ina mimic magonjwa mengi sana ya Cardiovascular na Respiratory..

Na mwisho anaweza kuwa na Ugonjwa wa Moyo

Kikubwa sasa afanye Vipimo vya Xray, Echo,Spirometry, na Ikiwezekana CT scan ya Mapafu..
Ahsante sana mkuu

Shida katembea sana huko hospitali mpaka kafikia kutafuta tiba mbadala ila kwa experience yangu ugonjwa kama huu kienyeji unaitwa kajembe na watu wengi wanao na wanaufahamu na hutibika kienyeji

Kama umetoa differencial diagnosis nyingi nyingi tena generaly ni wazi kuwa huu ugonjwa ni complex bado hauna maelezo zaidi kitaalam ni kweli au si kweli?
 
Hellow wakuu,

Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,

Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"

Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second

Hii ni ya miaka mibgi.

Analalamika kifua kibana na maumivu ya kichwa

Naambatanisha video hapo chini confidentiality imezingatiwa

Hii case huku wanadeal nayo kienyeji lakini nimeona kuna umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalam

Nawasilisha
Nadhan ni aina ya chembe ya moyo
 
Ahsante sana mkuu

Shida katembea sana huko hospitali mpaka kafikia kutafuta tiba mbadala ila kwa experience yangu ugonjwa kama huu kienyeji unaitwa kajembe na watu wengi wanao na wanaufahamu na hutibika kienyeji

Kama umetoa differencial diagnosis nyingi nyingi tena generaly ni wazi kuwa huu ugonjwa ni complex bado hauna maelezo zaidi kitaalam ni kweli au si kweli?
Nimetoa Differential Kwa sababu Sijamgusa Mgonjwa Ili kupata Picha ya ugonjwa lazima Daktari amuone mgonjwa..

Kwakuwa Tatizo hilo ni la Mifupa Nakushauri Ukienda MOI watajua Ni nini Kinamsumbua
 
Ahsante kwa mchango wako mkuu
 
Back
Top Bottom