Nilikuwa Bize sana Hapa Kati kati..
Ila kwa sasa nitakuwa naibia ibia..
Kuhusu Mgonjwa wako kwa Maelezo Uliyoyatoa naweza Nikatoa Differential au Niseme Impression ya Magonjwa Kadhaa maana Ningemchunguza kwa Mikono yangu Ningekuwa na wigo mpana Wa Ugonjwa Mmoja kimaamuzi ila kwakuwa Kuna video na Maelezo naweza Nikavitumia Hivyo Pia...
Huenda Ana Tatizo la "Pectus Excavatum" ambayo Huonekana kutokana na Kubonyea kwa Sternum (Mbonyeo wake unategemea Na severity ya Mfupo kubonyea)..
Kutokana na Kubonyea Huko Ndyo Haswa kunamfanya Apumue haraka kwa sababu hukandamiza Mapafu na Hivyo Kupelekea Kuhitaji Nafasi kubwa Ya Kupumua..
Hivyo hata uwezo wa Kurespire huzidi..
Huenda akawa na GERD (Gastro Oesophageal Reflux Disease) ambayo Ina mimic magonjwa mengi sana ya Cardiovascular na Respiratory..
Na mwisho anaweza kuwa na Ugonjwa wa Moyo
Kikubwa sasa afanye Vipimo vya Xray, Echo,Spirometry, na Ikiwezekana CT scan ya Mapafu..