Madaktari tumshauri huyu mshkaji anaugua gonjwa la ajabu....

Mpauko

R.I.P
Joined
Jan 19, 2019
Posts
2,323
Reaction score
3,428
Niaje....

Juzi katika mizunguko yangu ya hapa na pale nikajikuta navutika kwenda kumsalimia mwana mmoja kitaa cha zamani maana nilishahama hiko siku nyingi....

Nikamkuta mshakaji kava msuli anacheki movie ya Darfur baada ya story mbili tatu akaniambia anaumwa.....

Miezi 3 iliyopita alianza kuwashwa pumbu (anyway sina neno mbadala) akapuuza maana fangasi za hapa na pale sio issue kabisa.

Akasema wiki ya pili pumbu zikababuka ngozi wengi tunaita pumbu errosion, sema jamaa ni bodaboda so akawa bize tu kasema pumbu erosion huja na kujponea yenyewe... So akapuuza

Mambo yakawa sivyo dyudyu la yuyu nalo likaanza kubabuka ngozi jamaa akastuka, akakimbilia famasi (pharmarcy) akanunua Gentrisone cream akaanza kupaka shida ikaja wilki nzima ya kupaka gentrisone 70/100 ya dyudyu la yuyu ikawa ishababuka ngozi yaan ile unashika ngozi unaibandua tu, haiumi ila ngozi ya ndani ni laini sana so inauma dizaini....

Akaniambia akaenda famasi akanunua cream ingne inaitwa skirderm maana abiria hamna na hela hamna ye hakuweza kwenda hospital..

Akapakaa ila akasema mambo yakawa ndivyo sivyo 90% ya dyudyu la yuyu jekunduuu kama vile mtu umeungua baada ya kuja maji ukatumbua ukatoa ngozi ya nje... Kchwa cha dyudyu kikatoka mabaka meusi....vikaota vidonda kuanzia shinani kwenda juu vidnda sita!

Nkamwambia mbna una utani jamaa ilibid ukimbie kwa daktariii akacheka akasema bdaboda hiyo hapo nimepaki tatzo hela... Si ampe mtu... Kagoma kasema uaminifu hakna siku hizi...

Basi akamfata mshkaj kitaa ni daktari, mshkaji akatoa hofu akamwambja fangasi zmekomaa nakpa tiba konkiiii.... Akamwambia akanunue fluconazole tablet 1/14 na dawa ya kukausha vidnda ya kumeza...

Siku 14 tu zilitosha dyudyu la yuyu likapona, lakin ngozi ilibaki kuwa si imara, inakauka inapauka kisha inatoka.. Inabaki ngozi si imara kisha inakauka inarudia kupauka n kutoka... Kumchek jamaa akamwambia kawaidaaa ikikomaa itardi hali yake ya kawaida.... Mshkaiji akarudi kijiweni....

Zimepita wiki 2 hivi kasema vidonda vimeanza kurudi tena pia nozi ni dhaifu akishika na vidole anaumia kama kapaka pilipili vidoleni, kichwa cha abdalah kichwa wazi kinatoka vimagamba vyeusi.. Ndomana kavaa msuli[emoji16]

Hospitali kasema ye hana hela bali anasubiria kwa mtu na hajui atampa lini... Wataalamu wa ngozi ni kitu gani hiki?????

Nikaskitika mfukoni nina buku 8 tu nikamwachia buku tano maana kastop kazi bodaboda kampa deiwaka anapata huku buku za kula...
 
Note: ana mwaka sasa hana mahusiano ya kingono.... So uwezekano wa kuwa STDs hakuna...
 
Mkuu pole sana nimekuelewa kabisa mimi mwenyewe nilikuwa naumwa fangasi walitafuna sana pumbu yangu nikaenda kununua fluconazole na gentridem lakini ngoma ikadunda mana hali ilikuwa mbya sana nikawa nabandua ngozi lainiii kutoka kwenye pumbu na nilikuwa nasikia maumivu makali sana ikabidi nijichange niende hospital nikaonana na daktari bingwa wa ngozi nikamfungulia dudu yangu akaiona bila aibu yoyote akaniandikia dawa nikaenda kununua lakini ivyo vidonge vilikuwa vya kunywa nameza asubui na jioni na nyingine za kupaka mbili asubui napaka na jioni napaka ila sasa hizo dawa ni bei sana vidonge 30 kila kimoja 1700 piga esabu hapo shingapi utapata kwa iyo kama unaweza msaidie pesa aende kwa daktari hilo tatizo kubwa sana
 
Hapana hali yake kiuchumi si nzuri maana hata mm alinikopa ili aende hospitali
Kwakifupi asifanye mchezo na Afya yake. Siku zote hizo anakosaje hela ya kwenda hospital?
Anapuuza ngoja dude lianze kuoza, ndiyo atagundua palikuwa na umuhimu auze hata hiyo boda aende Hosp.
 
Daaaaah jamaa hawezi mudu hakika hawezi mudu nilimpa buku 5 nkabaki na buku tatu hiyo hela nilitegemea inivushe wiki nzima mzee kumsaidia kwa haliyake ningemsaidia haraka sana
 
Kwakifupi asifanye mchezo na Afya yake. Siku zote hizo anakosaje hela ya kwenda hospital?
Anapuuza ngoja dude lianze kuoza, ndiyo atagundua palikuwa na umuhimu auze hata hiyo boda aende Hosp.
Wewe si haukatwi ile 15%?Mfanyie mpango akatibiwe bana.

Nakusalimia dada.
 
Daaaaah jamaa hawezi mudu hakika hawezi mudu nilimpa buku 5 nkabaki na buku tatu hiyo hela nilitegemea inivushe wiki nzima mzee kumsaidia kwa haliyake ningemsaidia haraka sana
Aende hospitali hata kwa kukopa.Vinginevyo nitaamini haumwi.
 
Hospitali anataka saaaana fedha ni tatizo mkuu anaazima hela ya kwenda hospitali
Hospital ni easy sana angeenda akapata matibabu au kumuona daktari mtu anaye cheza na afya namuona ni mjinga
 
He is really sick and stressed mno... At this point mtu ashindwe kukopa mkuu? Upatikanaji wa hiyo pesa umekuwa tatizo
Aende hospitali hata kwa kukopa.Vinginevyo nitaamini haumwi.
 
Disease ishaingia Systemically so anahitaji matibabu ya kina. Akope au auze assets aende hosp akatibiwe (kimfaacho mtu ni kile alonacho)

Si akakope hata kwa washkaji wa kijiwe chake cha boda? Nyie mnaishije?

Pole kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…