Madaktari tumshauri huyu mshkaji anaugua gonjwa la ajabu....

Madaktari tumshauri huyu mshkaji anaugua gonjwa la ajabu....

Maisha mzee yupo stressed sana... Bodaboda yake hata 600000 haiuziki nispana mkononi tu... Akiuza inamaana anaanza na moja[emoji16][emoji16][emoji16] anaweweseka kweli anaogopa itakatwa
hivi hujiulizi ni kwanini watu wanauza figo lakini hawauzi dudu la yuyu a.k.a mjulubeng..!? mwambie aache utoto akiipoteza itabidi ajiunge chama la kina davito,bobrisky na jamesdelicious
 
Ushauri wangu atembelee sehemu za dawa asilia.kama mba, fungus.....zile dawa zinasaidia sana, Shem wang a lip at a fungus mwili mzima ila alinunua kijichuoa cha 5000 tu akapona....
 
Kwa uwezo wake amejaribu anachoweza ameshindwa imebidi asubiri pesa aliyohidiwa na dadaake.. Kwao moro kapanga kageto uswazi
apo hakuna msaada tofauti na kwenda hospitali, yaan awahi fasta akope pesa au aombe msaada kwa ndugu wa karibu.
 
Kwa juhudi zake yaan kwa means zote za ndan ya uwezo wake amekwama.... Huo ni ushauri wa kwanza niliompa pia.. Anyway atapata kila kopi ya ushauri wenu
Mkuu kwa hilo tatizo inaitajika pesa huwezi sema inaitajika matibabu ya garama nafuu aende kwa bodaboda wenzake wamchangie
 
Kwakifupi asifanye mchezo na Afya yake. Siku zote hizo anakosaje hela ya kwenda hospital?
Anapuuza ngoja dude lianze kuoza, ndiyo atagundua palikuwa na umuhimu auze hata hiyo boda aende Hosp.
Hata mimi nimeshangaa sana, unakazana na famasi badala ya kwenda hospitali!?
 
Kama yupo Dar, aende pale muhimbili sehemu wanayopima HIV bure, nimesahahu hilo jengo linaitwaje, lakini ukiulizia utapapata.

Akapime lakini aelezee ana shida ya kumuona Dr. Wa magonjwa ya zinaa na hana uwezo.

Wapo maDr. Pale watamwona na vipimo juu. Unless kama walisitisha hii huduma.
 
Kwa maamuzi yake anataka za hospital maana kwa sasa hawez tumia dawa za kupaka coz ana vidonda... Ujumbe utamfikia pia
Ushauri wangu atembelee sehemu za dawa asilia.kama mba, fungus.....zile dawa zinasaidia sana, Shem wang a lip at a fungus mwili mzima ila alinunua kijichuoa cha 5000 tu akapona....
 
Nipo nae Mtwara
Kama yupo Dar, aende pale muhimbili sehemu wanayopima HIV bure, nimesahahu hilo jengo linaitwaje, lakini ukiulizia utapapata.

Akapime lakini aelezee ana shida ya kumuona Dr. Wa magonjwa ya zinaa na hana uwezo.

Wapo maDr. Pale watamwona na vipimo juu. Unless kama walisitisha hii huduma.
 
Huduma za afya hazitolewi bure mzee, tangu mwanzo alijitibu kwa tiba zilizo ndani ya uwezo wake
Jaribu kujichanga na wewe mshkaji wake, kama alivyo sema mdau mmoja hapo ju, don't play with your health brother. AENDE HOSPITALI, period
 
Nilimpatia elfu 5mkuu that was the only money nliyoafford kumpatia
Jaribu kujichanga na wewe mshkaji wake, kama alivyo sema mdau mmoja hapo ju, don't play with your health brother. AENDE HOSPITALI, period
 
Mkuu za hospital zitaendelea kumpa maumivu sana pia.... Kuna mawili sindano au atumie hizo dawa...mimi nimeona mara 4 hvi watu wa karibu wakiwa na fungus Sugu ila wanapona dawa za kupaka hazisaidii ka fungus Sugu.....
Kwa maamuzi yake anataka za hospital maana kwa sasa hawez tumia dawa za kupaka coz ana vidonda... Ujumbe utamfikia pia
 
Kwahiyo nimwambiaje mkuu? Msaidie mwana
Mkuu za hospital zitaendelea kumpa maumivu sana pia.... Kuna mawili sindano au atumie hizo dawa...mimi nimeona mara 4 hvi watu wa karibu wakiwa na fungus Sugu ila wanapona dawa za kupaka hazisaidii ka fungus Sugu.....
 
Mkuu fungus sugu inatakiwa apate dawa za kumeza nafikiri ndio zitamaliza tatizo kabisa pamoja na za kupaka itasaidia sana

Hilo tatizo lilitupata sisi wengine tulipokuwa kidato cha pili ingawa sio kwa ukubwa huo
Tuliambia tutumie dawa za kupaka na kumeza kwa wakati mmoja
Lakini pia tuliambiwa tusitumie boxer za mpila (tutumie boxer za pamba 100% )
Lakini pia tuliambiwa tuwe na boxer nyingi angalau 4 ili tuweze kubadili kwa wakati
..boxer zinapaswa kufuliw na kuanikwa kwenye jua..ukiwa na pasi inapendeza kwani baada ya kuzikausha unazipiga na moto wa pasi..
Swala la kujikausha vizuri baada ya kuoga ni muhimu.
Kwa ujumla dawa na usafi wa mwili vinaweza kumsaidia
 
Mara ya kwanza alitumia hzo za kumeza akapata nafuu, zmerudi tena kwa kasi
Mkuu fungus sugu inatakiwa apate dawa za kumeza nafikiri ndio zitamaliza tatizo kabisa pamoja na za kupaka itasaidia sana
 
Back
Top Bottom