Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,428
- Thread starter
- #21
Ujumbe utamfikia mkuu, asset geto la kijana cha maana vinguo vyake na jiko la mafuta ya taa lile.....
Disease ishaingia Systemically so anahitaji matibabu ya kina. Akope au auze assets aende hosp akatibiwe (kimfaacho mtu ni kile alonacho)
Pole kwake!