Disease ishaingia Systemically so anahitaji matibabu ya kina. Akope au auze assets aende hosp akatibiwe (kimfaacho mtu ni kile alonacho)
Pole kwake!
Hospital huwezi kufukuzwa at a kama hauna hela nadhani ana cheza na afya anapataje hela ya kwenda pharmacy ana shindwa kupata elfu 5000 ya cheti ya kumuona daktariHospitali anataka saaaana fedha ni tatizo mkuu anaazima hela ya kwenda hospitali
Na huyo jamaa ndio mwandika threadInavyo oneka kwa mtiririko mzima wa maelezo yako, huyo jamaa anaumwa ugonjwa wa UKATA...!!
Maana katika sentensi (maelezo) yote uliyo toa, neno jamaa hana hela limejitokeza mara nyingi.
"UKATISIM" ukimuishia (namaanisha akipata hela ya kutosha) hakuna kitakacho shindikana..!
Mshauri aweke BONDI Bodaboda yake ajitibie kwanza hilo tatizo..
Pole kwake Mgonjwa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madaktari mko wapi jamani....
Daaaaah jamaa hawezi mudu hakika hawezi mudu nilimpa buku 5 nkabaki na buku tatu hiyo hela nilitegemea inivushe wiki nzima mzee kumsaidia kwa haliyake ningemsaidia haraka sana
Inavyo oneka kwa mtiririko mzima wa maelezo yako, huyo jamaa anaumwa ugonjwa wa UKATA...!!
Maana katika sentensi (maelezo) yote uliyo toa, neno jamaa hana hela limejitokeza mara nyingi.
"UKATISIM" ukimuishia (namaanisha akipata hela ya kutosha) hakuna kitakacho shindikana..!
Mshauri aweke BONDI Bodaboda yake ajitibie kwanza hilo tatizo..
Pole kwake Mgonjwa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nikikuandikia dawa rafiki na unasema no money itasaidia nini? Halafu kwa level ugonjwa ulipofikia kwa maelezo yako unahitaji physical and chemical diagnosis.
Hapa ndo maana unashauriwa kuwa suruhisho halali ni kwenda Hosp ili afanyiwe check ups then awe prescribed proper medicines per problem detected.
Kutaja dawa tu bila hosp si sahihi hapa!
Aweke rehani bodaboda yake ya 2,500,000.00 achukue laki 5 akajitibie akishapona atatafuta njia ya kurudisha hiyo hela,we live once,na ukifa hiyo bodaboda watachukua wengine na kuendelea na maisha...
Ujumbe utamfikia thanxKikubwa kuna mambo madogo ya kuzingatia ambayo yanaweza mpelekea asipone hali hio
1. Kabla ya kupakaa dawa ahakikishe anaosha na kukausha vizuri sehemu husika.
2. Apakae cream ya kutosha (thin layer) sehemu husika na kwenye ngozi karibu na sehemu ilio athirika.
3. Asirudie nguo alizovaa baada ya kupakaa cream hadi azisafishe.
Hayo ni mambo madogo ya kuzingatia, anaweza akatumia dawa zote bila mafanikio na pia asiishie pharmacy aende hospital akamuone daktari kabisa ili apate dawa sahihi.
Kumbuka mwandishi ni mimi na story ni ya mwingine... Nimetia msisitizo ili kuonesha uhalisia wa kile kinachomwamisha...
Ni neno ambalo nasisitizia kuonesha kuwa kwa wajuzi wa hili tatizo ANAHITAJI TIBA YA GHARAMA NAFUU