hivi hujiulizi ni kwanini watu wanauza figo lakini hawauzi dudu la yuyu a.k.a mjulubeng..!? mwambie aache utoto akiipoteza itabidi ajiunge chama la kina davito,bobrisky na jamesdelicious
Mkuu kwa hilo tatizo inaitajika pesa huwezi sema inaitajika matibabu ya garama nafuu aende kwa bodaboda wenzake wamchangie
Hata mimi nimeshangaa sana, unakazana na famasi badala ya kwenda hospitali!?Kwakifupi asifanye mchezo na Afya yake. Siku zote hizo anakosaje hela ya kwenda hospital?
Anapuuza ngoja dude lianze kuoza, ndiyo atagundua palikuwa na umuhimu auze hata hiyo boda aende Hosp.
Ushauri wangu atembelee sehemu za dawa asilia.kama mba, fungus.....zile dawa zinasaidia sana, Shem wang a lip at a fungus mwili mzima ila alinunua kijichuoa cha 5000 tu akapona....
Kama yupo Dar, aende pale muhimbili sehemu wanayopima HIV bure, nimesahahu hilo jengo linaitwaje, lakini ukiulizia utapapata.
Akapime lakini aelezee ana shida ya kumuona Dr. Wa magonjwa ya zinaa na hana uwezo.
Wapo maDr. Pale watamwona na vipimo juu. Unless kama walisitisha hii huduma.
Jaribu kujichanga na wewe mshkaji wake, kama alivyo sema mdau mmoja hapo ju, don't play with your health brother. AENDE HOSPITALI, periodHuduma za afya hazitolewi bure mzee, tangu mwanzo alijitibu kwa tiba zilizo ndani ya uwezo wake
Kwa maamuzi yake anataka za hospital maana kwa sasa hawez tumia dawa za kupaka coz ana vidonda... Ujumbe utamfikia pia
Mkuu za hospital zitaendelea kumpa maumivu sana pia.... Kuna mawili sindano au atumie hizo dawa...mimi nimeona mara 4 hvi watu wa karibu wakiwa na fungus Sugu ila wanapona dawa za kupaka hazisaidii ka fungus Sugu.....
Mkuu za hospital zitaendelea kumpa maumivu sana pia.... Kuna mawili sindano au atumie hizo dawa...mimi nimeona mara 4 hvi watu wa karibu wakiwa na fungus Sugu ila wanapona dawa za kupaka hazisaidii ka fungus Sugu.....
Kwahiyo nimwambiaje mkuu? Msaidie mwana