Madaktari tumshauri huyu mshkaji anaugua gonjwa la ajabu....

Vipi dawa gani ulisaidiwa mkuu
Naikumbuka dawa/cream moja ya kupaka inaitwa Gentalene-C.
Na vidonge vingine nimevisahau ambavyo ni Anti bacteria infection.
Kwa maelezo ya Yule mtaalamu aliniambia kwamba fungus ukichelewa kuzitibu zinasababisha kutokea kwa bacteria.
Kwa hyo kutibu kwake unatibu zote fungus na bacteria sambamba.
 
Duuuh sawa sawa hebu niwahishe maelezo chaap yatamfaa
 
Huyo anaigiza mtu mkunyenye unaumwa halafu umekaa tu! Jinga kweli uza hata kitanda kama boda unaionea huruma ukatibiwe ukishapona unarudi kijiweni around one month unakava ulichopoteza.OVA
 
Sawa ndugu
Huyo anaigiza mtu mkunyenye unaumwa halafu umekaa tu! Jinga kweli uza hata kitanda kama boda unaionea huruma ukatibiwe ukishapona unarudi kijiweni around one month unakava ulichopoteza.OVA
 
Hiyo ni fangasi mkuu advance ilinishambukia sana mpaka leo pumbu zangu zina rangi nyekundu na ngozi laini toka mwaka 2009. Nilipaka mpaka spirit ile ya kijani wapi. Ila nilivorudi nyanda za juu fangasi ikasepa yenyewe. Ila madhara yake bado yapo mpaka leo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nyekundu????
 
Nmeshuhudia mkuu mtu anaoza anajiona
Kuna dawa nilikunywa mwishoni kidonge buku nishasahau jina Dose siku 30 angalau ilosaidia bahati mbaya ikarudi tena mazingira yanachangia zaidi huu ugonjwa kuwa sugu.
 
Aweke bondi bodaboda yake. Ili awahi kwa Daktari. Asione tabu kwani ninaumwa na mguu hii wiki yatatu asa ivi na nishatumi sichini ya sh 700,000 mpaka sasa. Nilijichoma na msumari tu. Ila nashkuru maendeleo mazuri Alhamdulilah.
 
Daaah pole sana mkuu sasa huyu bwana tumshauri vpi maana ye mambo yameharibika kabisa
Kuna dawa nilikunywa mwishoni kidonge buku nishasahau jina Dose siku 30 angalau ilosaidia bahati mbaya ikarudi tena mazingira yanachangia zaidi huu ugonjwa kuwa sugu.
 
Kumbe best ww Dk๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹...
 
Mkuu pole sana, pole sana kwa masahibu, nitazingatia kufikisha ushauri wako haraka
Aweke bondi bodaboda yake. Ili awahi kwa Daktari. Asione tabu kwani ninaumwa na mguu hii wiki yatatu asa ivi na nishatumi sichini ya sh 700,000 mpaka sasa. Nilijichoma na msumari tu. Ila nashkuru maendeleo mazuri Alhamdulilah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ