D DrYUSUPH KISUNZU New Member Joined Jan 3, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Jan 13, 2014 #1 Mimi ni mwanafunzi nasoma medicine ngazi ya diploma kinachonisumbua ni kumaster diseases na dawa zake ikiwemo na dosage yake. Namna gani ninaweza kuzishka? Nisaidieni tafadhari najua tunasumbuliwa wengi tu. Tusaidieni mbinu.
Mimi ni mwanafunzi nasoma medicine ngazi ya diploma kinachonisumbua ni kumaster diseases na dawa zake ikiwemo na dosage yake. Namna gani ninaweza kuzishka? Nisaidieni tafadhari najua tunasumbuliwa wengi tu. Tusaidieni mbinu.
mkandi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 281 Reaction score 121 Jan 13, 2014 #2 Ku practice tu mkuu, hakuna mnemonics
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 442 Jan 13, 2014 #3 Kukariri ndiyo kawaida ya madaktari wengi, jifunze kukariri tu!
D DrYUSUPH KISUNZU New Member Joined Jan 3, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Jan 13, 2014 Thread starter #4 Ok nashukuru kwa msaada huo nilijua huwa kuna njia mbadala mbali na kukalili hasa mnemonics za madawa na magonjwa yake. Asanteni
Ok nashukuru kwa msaada huo nilijua huwa kuna njia mbadala mbali na kukalili hasa mnemonics za madawa na magonjwa yake. Asanteni