DrYUSUPH KISUNZU
New Member
- Jan 3, 2014
- 4
- 0
Mimi ni mwanafunzi nasoma medicine ngazi ya diploma kinachonisumbua ni kumaster diseases na dawa zake ikiwemo na dosage yake.
Namna gani ninaweza kuzishka? Nisaidieni tafadhari najua tunasumbuliwa wengi tu. Tusaidieni mbinu.
Namna gani ninaweza kuzishka? Nisaidieni tafadhari najua tunasumbuliwa wengi tu. Tusaidieni mbinu.