GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unakuta kuna Member Mmoja Maarufu mno Mitandaoni mpaka Rais Samia anamjua na Kufurahishwa nae na Wengine baadhi ila anachukiwa na Members kadhaa lakini hao hao Members Wanaomchukia huyo Member maarufu kila mara na kila Saa tu Wanamfuatilia na Kumsoma huku Wengine hata wakiwa Wanamfolo vile vile.
Nasikia Kitaalam / Kitabibu hawa Watu ( Members ) wana Ugonjwa Hatari sana unaowasumbua ila bahati mbaya hawaujui na wala hawajijui pia.
GENTAMYCINE naomba kujua kutoka Kwenu Madaktari Bingwa mlioko hapa JamiiForums je, huu Ugonjwa unaitwaje na Unatibikaje ili Unaowahusu wakaanze Tiba zao Milembe Dodoma, Lutindi Tanga na Muhimbili National Hospital Dar es Salaam?
Cc: Chaliifrancisco etc