Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Kupata choo Kwa shida inasababishwa minyoo lakini pia tatizo la kutokunywa Maji ipasavyo na kutokula matunda.

Nakushauri njia sahihi ya wewe kupata choo haraka ni kula Tunda la Papai.

Kula Papai zima halafu kesho njoo ulete mrejesho hapa kama hujapata choo hadi ukahamia huko huko chooni 😜
 
Na mahindi ya kuchemsha, yana fibres za kutosha zinazo facilitate movement za kinyesi vzuri
 
Madaktari ni wiki moja na siku 2 tokea nilipopata choo mara ya mwisho.Nilienda Kwa Daktari nikapewa dozi nikamaliza lakini hamna mabadiliko.
Madaktari ni wiki moja na siku 2 tokea nilipopata choo mara ya mwisho.Nilienda Kwa Daktari nikapewa dozi nikamaliza lakini hamna mabadiliko.
Hili tumbo litakuwa ni self- contained.
 
Kama ni maji nakunywa Lita mbili Kwa siku na kama matunda nakula Sana hasa mapapai lakini sioni matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…