Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Kutopata choo wakati mwingine kitaalamu ni tatizo linalohusisha utumbo kuziba kitaalamu inajulikana kama INTESTINAL OBSTRUCTION

Sababu inaweza kuwa ni kujinyonga kwa utumbo, au kinyesi kuganda kwenye utumbo, minyoo au mawe yatokanayo na nyongo kuganda,ugonjwa wa ngiri na nk


Nenda hospitali ukafanye vipimo vya picha kama vile ultrasound ili ufahamu sababu halisi ya tatizo lako na matibabu muhimu
 
Back
Top Bottom