Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Ushuzi wa mtu ambaye hajapata choo wiki nzima unaweza kufanya bati jipya likapata kutu.
Papai na mboga za majani is the way to go. Lkn pia kula Hindi lakuchoma au kuchemsha.
 
Hii bisacilodyl ukiitumia wanashauri uwe nyumbani,. Maana utapata choo laini sana (utaharisha). Afu pindi ukiharisha ndo hapo mwisho wa dozi
Nadhani ndicho anachotaka huyu mtoa mada. Mzigo ulainike halafu utoke mwilini
 
Madaktari ni wiki moja na siku 2 tokea nilipopata choo mara ya mwisho.Nilienda Kwa Daktari nikapewa dozi nikamaliza lakini hamna mabadiliko.
ili upate choo lazima uwe umejenga angalau hta chumba kimoja mkuu
 
Kunywa maji ya kutosha,kula matunda hasa papai na parachichi,fanya mazoezi,au kama una kieneo unaweza lima basi lima walau hatua kumi kwa kumi,yaani kimba hili mlangoni,usile chapati chapati na maandazi,vinaziba sana
Nashukuru mkuu hili nalo ntajaribu kufanyia kazi tatizo sio msimu wa mashamba.
 
Funguka mkuu hupati choo kwa maana husikii haja ama unasikia haja ila mzigo hautoki kutokana na ugumu.

Binafsi mzigo uligoma kutoka kwa takribani wiki tatu na siku kadhaa ilikuwa ni wakati wa maumivu nilitumia dawa za hospital na za kienyeji nikapona
Mkuu ni hivi

1 Haja sipati na sibanwi
2 Nashindwa kula
3 Tumbo lipo kama la mja mzito
4 Mara nyingi Huwa nafunga na kula mlo mmoja usiku sababu nahisi tumbo limejaa
5 Nikipata haja ni baada ya wiki mbili au tatu na hamna feeling ya haja.
6 Haja nayopata ni ndogo Sana.
 
Ulitokaje kwenye hii hali Dada.
Baada ya kuteseka sana 2021 na 2022

Maisha yangu yalikua ni mimi na dawa na dawa na mimi ilifika wakat niliogopa kula,

Matunda yoteee niliyamaliza papai hata 3 kwa siku nilikula lakn hazikusaidia chochote,

Sikumoja niliamua kwenda hospital na kumueleza daktari kwa Mara ya kwanza,

Daktari Alitabasamu na akaniambia hivi,

Rudi nyumbani, mimi sikuandikii Matibabu yeyote,wewe ni mzima na hauna tatizo lolote.

Nilishangaa sanaaaaa yaan mimi nateseka yeye anasema Sina tatizo.......

Alinielekeza haya,

Kula ugali mlaini sana WA dona

Mboga za majani nyingi na za jamii ya kunde,

Kula matunda,yaan Kati ya vyakula vyangu kwa siku mlo m,moja uwe matunda pekee hasa papai na parachichi,

Ninywe maziwa mtindi kilasiku

Niache kula vyakula vya Ngano
Niache kula wali, n.k

Mimi nilpona toka sikuile nilipotoka hospital,

Hayo matunda siri hata hizo mboga za majan siyo mtumiaji

Ila napata Choo vzur, toka siku ile

Siri ngano ,siri wali
 
Basi Dada ulikutana na Malaika.Akakuponya Kwa maneno.Ushauri ntaujaribu.
 
Back
Top Bottom