Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Madaktari ni wiki moja na siku 2 tokea nilipopata choo mara ya mwisho.Nilienda Kwa Daktari nikapewa dozi nikamaliza lakini hamna mabadiliko.
Hii hujitaji doctor, km Una blander,Chukua parachichi, papai na ndizi tengeneza juisi unywe,km huna nunua mwenyewe Chukua parachichi,ndizi mbivu,papai na tikitimaji osha katakata,tafuta movie yako angalia huku unakula taratibu vikiisha subiria kwenda safisha tumbo.
Km ukiwa nje ya hayo mazingira hakikisha unakunywa maji ya kutosha hasa mchana
NB
Hata chai ya tangawizi nayo ni msaada mkubwa kupata choo
 
Tumia juice ya ukwaju asubuhi kikombe kimoja na jioni kunywa kikombe kimoja cha chai utamaliza tatizo la kwenda choo
 
Pole sana kiongozi,
Constipation achana nayo kabisa, nadhani ilikuwa 2009 nilitumia dawa fulani, nikaacha baadhi ya dawa nilizopewa, kumbe zile nilizoacha zilikuwa kwa ajili ya kulainisha choo. Sitasahau varangati lake.
 
🍀 MARADHI YA KUTOPATA CHOO 🍀
Haya ni maradhi ambayo yamekithiri sana kwa binaadamu na kuweza kusababisha matatizo mbalimbali katika miili yetu.
Wako baadhi ya watu wenye tatizo hili, wao hawapati choo vizuri, katika hao wapo ambao hawapati choo Ila baada ya siku tatu nne hata wiki na wengine hupata choo mfano wa kilicho choo cha mbuzi.
Haya ni maradhi , tena ni maradhi hatari sana kwa wanaume na hata pia wanawake.
🍃Maradhi haya yakimtokea mwanaume humletea :::-----
👉Gesi tumboni
👉Vidonda tumbo
👉kumpotezea nguvu za kiume haraka
👉Bawasiri
🍃Vilevile maradhi haya yakimtokea mwanamke humsababishia :;;:;;-------
👉Chango
👉Vidonda vya tumbo
👉Gesi tumboni
👉kupoteza hamu ya tendo la ndoa
👉maumivu makali sana wakati wa tendo la ndoa
👉Bawasiri

SANAMAKI.
💥 TAHADHARI .... usitumie sanamaki na juisi ya limau, machungwa, na maziwa.
💥wajawazito na wanaonyonyesha usitumie dawa hii.

DAWA YA MTU ASIYEPATA CHOO.
⚡--->Chemsha dawa inayoitwa SANAMAKI kofi moja (kiganja kimoja) mpaka iive sawa sawa na unywe kikombe kimoja kutwa mara moja (1×1),
⚡--->Hakika utapata choo pia dawa hii ni mujarabu kwa wagonjwa wa tumbo.

🌻DAWA NYINGINE NI ZAYTUNI🌻
Kunywa mafuta ya zaytuni ujazo wa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili siku tatu.
🌲 KWA WATOTO 🌲
Chukua MAFUTA YA LOZI kijiko kimoja cha chai ikiwa mtoto ni chini ya mwaka mmoja na ikiwa mtoto ni zaidi ya mwaka mmoja mpe kijiko kimoja cha chakula na fanya hivyo kutwa mara mbili siku 3.

Kwa ushauri tiba na mahitaji ya dawa zetu wasiliana nasi
What's app\call
+255656303019
~Chief Sang'ida .
 
Madaktari ni wiki moja na siku 2 tokea nilipopata choo mara ya mwisho.Nilienda Kwa Daktari nikapewa dozi nikamaliza lakini hamna mabadiliko.
Funguka mkuu hupati choo kwa maana husikii haja ama unasikia haja ila mzigo hautoki kutokana na ugumu.

Binafsi mzigo uligoma kutoka kwa takribani wiki tatu na siku kadhaa ilikuwa ni wakati wa maumivu nilitumia dawa za hospital na za kienyeji nikapona
 
Kubigwa Bomba Inakuaje iyo
Kupigwa bomba aka kuinikwa
IMG-20240708-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom