Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Kuna watu wanacomment kwa kubeza lakini hii ishu ya matumbo ikija kuwakamata moja ya thread watakayopitia kupata msaada ni hii hii.
Mtu akisema anakosa choo msikie hivo hivo aisee ni kitu kinatesa sana na kinakuharibu psychologically. Mnaweza kua mmekutana kama weekend hii kijiwe flani mnapata msosi mzuri sana lakini unaona mwenzako anakula hana raha, tena kidogo kidogo.
Ushauri wa kula mapapai, kunywa oil chafu, tumia bisacodyl, tunywa castrol oil, kunywa maji ya chumvi na sukari, kula vyakula vya fiber kwa wingo, ushauri wote utafuata lakini mwisho wa siku utarudi palepale hupati choo, wala hisia kwamba umebanwa haja haipo kabisa.
So tushauriane kwa upendo, kama unajua solution weka hapa watu wafuate na kama huna basi usicomment mzaha. Maana utaikumbuka thread hii siku za usoni
 
Hivi vinafanyaje kazi
Pole sana.
Kwa maelezo yako Kuwa umejaribu njia nyingi zilizozoeleka lakini hakuna matokeo mazuri.

Nakushauri uende hospitali ukafanye vipimo vikubwa ikiwemo ultra sound kujua huenda una intestinal obstruction inayoweza kusababishwa na Vitu vingi ikiwemo bulk worm infection au inaweza kuwa kuna torsion sehemu au Nerve paralysis au inaweza kuwa ni malignancy (cancer) but Rare.

Unaweza kutafuta dawa (lavatives) kama vile senna hii inachochea bowel movement,, stool softeners mfano docusate sodium inalainisha choo.

Wahi hospitali kubwa ndugu yangu.
 
Kuna watu wakiwa karibu na mazingira ya vyoo na vichaka vinapatikana kwa urahisi huwa ni ni nadra kupata / kuhisi haja, shida inakuja ukiwa mbali na hayo mazingira hususani ugenini.
 
Papai niliwahi kula zima lakini sikupata choo ila kiboko ni parachichi
 
Papai niliwahi kula zima lakini sikupata choo ila kiboko ni parachichi
 
Duu dunia ina magonjwa mengine ya hatari na kustaajabisha Sana sio utani mtaani kwetu kulikuwa na jamaa Fulani ivi nae alikuwa na ugonjwa wa kutopata choo na jamaa alikufa we fikiria unakula miezi 2 na haunyi noma xanaa
 
Duu dunia ina magonjwa mengine ya hatari na kustaajabisha Sana sio utani mtaani kwetu kulikuwa na jamaa Fulani ivi nae alikuwa na ugonjwa wa kutopata choo na jamaa alikufa we fikiria unakula miezi 2 na haunyi noma xanaa
huwa wanawafanyia operation halafu wanawakamua utumbo.
 
Naishi hivi Kwa Miaka miwili sasahivi nikitafuta suluhisho.
Una shida nyingine yoyote ya kiafya inayokusumbua kws muda mrefu ?

JE unaweza kunielezea chakula chako kwa siku tokea asubuhi mpaka jioni unakula nini ?

Na je huwa unafunga(fasting) kula mara ngapi kwa mwezi(sometimes fasting is the problem)?

MImi nitakusaidia
 
Papai niliwahi kula zima lakini sikupata choo ila kiboko ni parachichi
Unawez ukal papai zima lenye ukubwa wa ngumi yako nalo hilo ni zima eti,ishu sio kusema papai zima,ishu ni ukubwa wa papai.

Papai linatakiwa liwe limeshiba na kuiva vizuri sana,then ndo unalipiga.
.shida ya binadamu kila utakachomuambia atakuambia amefanya ila haoni matokeo.😁😁
 
Pole Hilo tatizo linanikuta nikila kidogo sasa tafuta ukwaju tengeneza juice iwe nzito kama unaweza usiweke sukari kunywa usiku,asbh na jioni hiyo siku usiwe mbali na Choo maana tumbo litanguruma matoke utayapata upendelee kunywa mara Kwa mara
 
Hapo nenda ukainikwe tu , kapigwe bomba .
Zamani bibi zetu walikuwa wanatutibu kwa njia hiyo
 
Back
Top Bottom