Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Yani kila hospital ninayopita sijawahi kutana na Dr asiye na mvutooo.
Duuuh wanajua kuvaa hasa suruali za kadeti mashati yamenyooshwa vizur yani mahandsome[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Jaman jana nilikuwa mitaa ya Mirembe hospital wale wakaka sjui walikuwa kwenye field sijui mitihani yani wotee wazurii khaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Ila madr wanajua kuvaa alafu mbona sura zaoo nzurii sana au macho yangu.

Usiombe ukutane na Mahb madr ndo wametoka kuajiriwa kama mwaka au miaka miwili wanakuwaga wazuri yanii vijana vijana wanavaa vizur yani [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]

Alafu Madr wanapenda kumiliki vitu vizur vizur kuanzia simu,magari na nyumba kwa sababu wana mihelaaa.

Ndo maana nimeamua kuolewa na Mganga kalumanzila maana nawazimia madaktareeee[emoji182][emoji182][emoji182]View attachment 874207
Ngoja na mie nivae vizuri niwe napita pita kwenye korido za hospitali hapa nionekane dokta naweza beba fyucha mamsapu..! [emoji4][emoji4][emoji4]
 
I realy love this work

Despite all the hardship that we get

One thing , pride to us is not our first priority but some one's life

Nothing that makes me feel good like saving some body life

Na kuondoa uchungu to certain relatives

Na hakuna uchungu naupata like someone departing in my hand

I dont want it to happen again

I love my work View attachment 874240
Ngoja demiss akuone aje akupe mpapuchi wa burebure [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom