Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duhh!! sasa tunafanyaje best nishauri basi, chukulia hii ni shida yako pia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka urudi umeshazeeka tayar
Mtunuku banaaa...! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mxeeeew mm nimemsifia tuu
mchachu kama kange'Unaweka ya kwake asije kuwa ana sura ya kijeshi
Kwan walimu take Home yenu ni sh ngpMhg jaman uwii mbn rahaaaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahaha najua wewe wapi nitakusifia japo unataka kufanan na Maaskar magereza watu ambao wanaongoza kwa uongo na mikopo
Hapana mkuu by professional mimi ni aeronatic engineer na Kwenye mihela daktari hamkuti engineer ila pia inategemea na huyo daktari anajishughulisha vp ila hapo kwenye u handsome dah! Nimeona wivu na hasira kwa kweli [emoji23]Wewe mwalimu nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mganga wa jadi?? [emoji53][emoji53][emoji53]Tamuuu ya kalumanzila hiiii
Hahaaa tungo tata mkuuKwahiyo sisi makonda siyo mandsome jaman duuh
sawa, sio mbaya hata sisi mgambo wa bashite tuna mvuto sana! full stop, eye for an eye.Pambana na hali yakooo
Hahaha kwa sababu umesoma masomo magumu lazima msura wako mbayaaaaaHapana mkuu by professional mimi ni aeronatic engineer na Kwenye mihela daktari hamkuti engineer ila pia inategemea na huyo daktari anajishughulisha vp ila hapo kwenye u handsome dah! Nimeona wivu na hasira kwa kweli [emoji23]