Sawa kwa private mm sina swali ni kutimiza majukum yako tu ila wanakuwa wamekuandalia mazingira na kuelewa uwepo wakoHuku sisi wanatusupport
sure kuteleza sio kuanguka, nikaje mazima sasa niwe kwenye kundi la madr[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka
Take home ni 1Mil+ mkuuUnamaanisha dr MD au specialist? Manake MD analipwa 900k per month hapo ana bachelor
Ngoja na mie nivae vizuri niwe napita pita kwenye korido za hospitali hapa nionekane dokta naweza beba fyucha mamsapu..! [emoji4][emoji4][emoji4]Yani kila hospital ninayopita sijawahi kutana na Dr asiye na mvutooo.
Duuuh wanajua kuvaa hasa suruali za kadeti mashati yamenyooshwa vizur yani mahandsome[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Jaman jana nilikuwa mitaa ya Mirembe hospital wale wakaka sjui walikuwa kwenye field sijui mitihani yani wotee wazurii khaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ila madr wanajua kuvaa alafu mbona sura zaoo nzurii sana au macho yangu.
Usiombe ukutane na Mahb madr ndo wametoka kuajiriwa kama mwaka au miaka miwili wanakuwaga wazuri yanii vijana vijana wanavaa vizur yani [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Alafu Madr wanapenda kumiliki vitu vizur vizur kuanzia simu,magari na nyumba kwa sababu wana mihelaaa.
Ndo maana nimeamua kuolewa na Mganga kalumanzila maana nawazimia madaktareeee[emoji182][emoji182][emoji182]View attachment 874207
Anhaa sawa mkuuTake home ni 1Mil+ mkuu
Ngoja demiss akuone aje akupe mpapuchi wa burebure [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]I realy love this work
Despite all the hardship that we get
One thing , pride to us is not our first priority but some one's life
Nothing that makes me feel good like saving some body life
Na kuondoa uchungu to certain relatives
Na hakuna uchungu naupata like someone departing in my hand
I dont want it to happen again
I love my work View attachment 874240
Yeah..Kila mweziii
Haha me ni doctor ila sio wa tunguli kama mumeoLeo wanajf wote watakuwa madr
Duh aya mke wa mgangaYani askar magereza siyo mme