Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Wewe mwalimu nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu by professional mimi ni aeronatic engineer na Kwenye mihela daktari hamkuti engineer ila pia inategemea na huyo daktari anajishughulisha vp ila hapo kwenye u handsome dah! Nimeona wivu na hasira kwa kweli [emoji23]
 
Hahaha kwa sababu umesoma masomo magumu lazima msura wako mbayaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…