Clark cian
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 199
- 226
kabla ya kumfanyia matibabu mnakubaliana kwanza na hela ya matibabuHabarini za Leo waungwana wa jamii Forum.
Mimi ni daktari mtarajiwa wa Mifugo ninayeishi dar es salaam pande za Mbezi mwisho naipenda Sana hii kazi na ndio maana huwa naifanya Kwa uaminifu wote chini ya madaktari washauri wangu.
Lililonileta hapa Leo baada ya miaka mitatu kukatika ni juu ya changamoto tunazokumbana nazo Sisi kama madaktari wa mifugo.
Ya kwanza kabisa aiseee madaktari wa mifugo tunaendeshwa Sana na hii hutokea pale tunapoenda kutoka matibabu nyumbani Kwa watu ambao ni matajiri kupita maelezo 😀 basi utasikia mwenye mnyama wake anakuambia haya ukimaliza matibabu uhakikishe unadeki na Hilo Banda pamoja na kuwaogesha kama ikiwezekana 😀😀,mwamba unasema poa unapiga kazi ukishamaliza mwamba anakulipa hela ya matibabu tuuh na kuhusu hela ya usafi wa mnyama na Banda anakuambia kwahiyo ulitaka awe mchafu aumwe tena unilie pesa zangu eeh? 😀😀😀
Daah mtuonee huruma aisee mjaribu kuheshimu the way tunavyopambana na wanyama wenu kuwafanyia matibabu 😀💊💉
Brother Mimi ni BVM nipo attachment sasa lazima tuishi najaribu okoteza tabia za wafugaji ili nikija kama graduate mwezi wa 9 niwajulie.....Namashaka.na wewe mkuu
Wewe n daktar (BVM)
AU wewe n (CAHP)Au (DAHP)
Tuanzie hapo
Huwa ni ngumu Sana kaka wengine wanataka Hadi mnyama aponekabla ya kumfanyia matibabu mnakubaliana kwanza na hela ya matibabu
kabla ya kumfanyia matibabu mnakubaliana kwanza na hela ya matibab
Pesa inabidi itumikiwe
Shukrani Sana Kwa ushauriOngeza thamani yako, hutosikia huo upumbavu. Kuna mda niliwai kuwa nafanya kazi, watu wananilipa wanavyotaka, nilipo pandisha thamani wananilipa nachotaka na sio wao wanachotaka
Hapana kaka tunajaribu kuonyesha kuwa tunajaliWewe bwanamifugo wa wapi mkuu... Hyo kusafisha banda ndo ulichosomea bwashee
🙃🙃Pole sana wewe siyo bwanamifugo
Hii chai
Nataka nijue seniors wanaitumikia kivipiPesa inabidi itumikiwe
Uzi ufungweWewe unajishusha sana
Nabidi nipunguze sasaWewe unajishusha sana