Sekta ya mifugo watapewa wawekezaji kutoka nje siku sio nyingiKulikuwa na madaktari wa migufo wa kila Kata. Sasa hivi hawaonekani. Kada hiyo iliondolewa kwenye Kata au basi ni kutega kazi, maana hawaonekani.
Hakuma msaada wa daktari wa mifugo katika almost kila kata.
Migufo? Lugha ya wapi hii. Huku kwetu tunaita mifugoMaxence Melo and other moderators, please rekebisha heading isomeke migufo NOT migufo
Hujatuambia mifugo ilienda wapi huko kwenye kata!Kulikuwa na madaktari wa migufo wa kila Kata. Sasa hivi hawaonekani. Kada hiyo iliondolewa kwenye Kata au basi ni kutega kazi, maana hawaonekani.
Hakuma msaada wa daktari wa mifugo katika almost kila kata.
Baby mke wangu DemiMigufo? Lugha ya wapi hii. Huku kwetu tunaita mifugo
Migufo ndio nini?Kulikuwa na madaktari wa migufo wa kila Kata. Sasa hivi hawaonekani. Kada hiyo iliondolewa kwenye Kata au basi ni kutega kazi, maana hawaonekani.
Hakuma msaada wa daktari wa mifugo katika almost kila kata.
mods watarekebishaMigufo ndio nini?
Tunasoma maoni, tutajirekebishaWapo ila watoro na wanapga pesa tu kwa wenye mifugo
Mkuu hapa wanarekebisha Tena migufo 🤣🤣Maxence Melo and other moderators, please rekebisha heading isomeke migufo NOT migufo
Migufo ndio nini ?Maxence Melo and other moderators, please rekebisha heading isomeke migufo NOT migufo