Madaktari wa mifugo wa Kata walikwenda wapi? Naiomba Mganga Mkuu wa Migufo wa Mkoa

Madaktari wa mifugo wa Kata walikwenda wapi? Naiomba Mganga Mkuu wa Migufo wa Mkoa

Katika sekta ambayo watumishi wanalipwa pesa bila kuwajibika kwenye majukumu yao ni Hao watu wa mifugo na afsa ugani/kilimo (Kata)
Hawana msaada kwenye jamii lakini pia vichwani weupe
Wacha kujenerolize mambo
 
Kulikuwa na madaktari wa mifugo wa kila Kata.

Sasa hivi hawaonekani. Kada hiyo iliondolewa kwenye Kata au basi ni kutega kazi, maana hawaonekani.

Hakuna msaada wa daktari wa mifugo katika almost kila kata

Mkuu umefika kwenye ofisi ya kata unapofugia ukawakosa?

Otherwise tunategemea hawa watu wawe na ofisi yao kwenye ofisi za kata.
 
Maafisa mifugo kata wapo kila kata. Pia kuna maafisa mifugo wa kijiji kwa baadhi ya maeneo!
Labda unakaa kwa wawindaji huko hawafugi!
Utendaji wao umekuwa mdogo sana na hata ukiwatafuta majibu yanakuwa magumu sana sio kama unavyotegemea toka kwa wataalamu hao.
 
Utendaji wao umekuwa mdogo sana na hata ukiwatafuta majibu yanakuwa magumu sana sio kama unavyotegemea toka kwa wataalamu hao.
Hili ni kweli.

lakini shida sio watendaji ni serikali yenu kushindwa kutoa seminar elekezi na Continue proffesional development.

Mbona hao watu tuko nao huku private na wanafanya Vizuri.

Siri ipo kwenye training.

Haiwezekani mtu hajaenda training for more than 20years katika sector ya kilimo/Mifugo ambapo kila siku technologia inabadirika na Magonjwa yanakuja mapya
 
very strange Moderators ni wepesi kufuta threads/kuziunganisha lakini kurekebishe headings za thread wavivu. Tabia zile zile za watanzania...uvivu, kutojali, uzembe halafu wanadai mishahara. Maxence Melo
 
Uzi mzuri sana huu,
Hadi jamii za wafugaji Hawa Watu hawaonekani
 
Kulikuwa na madaktari wa mifugo wa kila Kata.

Sasa hivi hawaonekani. Kada hiyo iliondolewa kwenye Kata au basi ni kutega kazi, maana hawaonekani.

Hakuna msaada wa daktari wa mifugo katika almost kila kata
Tulikuwapo mkuu tukakimbia maslahi hakuna! Nchi hii ilishakuwa ya kipumbavu sana!
 
Back
Top Bottom